makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Walitujengea reli, na imetushinda.. sasa kuna haja gani ya kujitawala kama mambo yenyewe ndio hivi.. watanzania wenzetu wanaifilisi nchi
Uzalendo, uzalendo.. ni kipengele..
Mataifa ya wenzetu, viongozi wanaiba na kunyonya mataifa mengine kwa ajili ya taifa lao, na sio binafsi, sisi huku matakoni kwa dunia, viongozi wanaliibia taifa kwa manufaa yao.