Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Mambo ya aibu sana yaani tulikabidhiwa reli mpya kabisa tumeshindwa kuisimamia hata miaka 50 haijatobooa..Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC), kwaajili ya kusimamia na kuendesha reli hiyo kwa Kipindi cha Miaka 30.
Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) inayomilikiwa na serikali ya China, inatarajiwa kuifanyia ukarabati na kuendesha reli ya TAZARA kupitia uwekezaji wenye thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na itapewa mkataba wa miaka 30.
Katika taarifa iliyotolewa Desemba 24, 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa TAZARA, Bw. Bruno Ching’andu amesema “Mpango wa kuifufua TAZARA, ambao ulizinduliwa rasmi Novemba 2025, sasa umeingia hatua ya utekelezaji. Mshirika wetu ameanza kuhamasisha vifaa, timu za wataalamu na msaada wa kiusalama ili kuruhusu kazi za ukarabati kuanza.”
Umasikini ni mbaya sana. Trilioni 3.7 ni thamani yote ya uwekezaji kwa miaka yote 30 au kila mwaka tutapata trilioni 3?Mamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC), kwaajili ya kusimamia na kuendesha reli hiyo kwa Kipindi cha Miaka 30.
Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) inayomilikiwa na serikali ya China, inatarajiwa kuifanyia ukarabati na kuendesha reli ya TAZARA kupitia uwekezaji wenye thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na itapewa mkataba wa miaka 30.
Katika taarifa iliyotolewa Desemba 24, 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa TAZARA, Bw. Bruno Ching’andu amesema “Mpango wa kuifufua TAZARA, ambao ulizinduliwa rasmi Novemba 2025, sasa umeingia hatua ya utekelezaji. Mshirika wetu ameanza kuhamasisha vifaa, timu za wataalamu na msaada wa kiusalama ili kuruhusu kazi uza ukarabati kuanza.”
===== For English Audience ====
The Tanzania-Zambia Railway Authority (Tazara) said its long-awaited revitalisation programme has entered an active stage following the mobilisation of equipment, technical personnel and other resources by its partner, China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC).
The state-run CCECC) is set to revitalise the Tazara through a $1.4 billion investment for rehabilitation and operations, securing a 30-year concession to run the key trade route connecting Zambia's copper belt to Dar es Salaam port.
In a statement issued on Wednesday, Tazara Managing Director and Chief Executive Officer, Mr Bruno Ching andu, said the move marked a critical transition from planning to implementation, laying the groundwork for phased rehabilitation of the ageing railway infrastructure.
"The revitalisation programme, which was officially launched in November 2025, has now moved into its active stage," Mr Ching'andu said. "Our partner has commenced the mobilisation of equipment, technical teams and logistical support to enable rehabilitation works to proceed."
SOURCE: THE CITIZEN
umepiga mahesabu ya Thamanj ya importation na Exportation nchi itakayoingiza kwa kila mwaka?,maana yake hapo usafirishaji wa bidhaa kutoka kwenye bandari za Tnzania kwenda Zambia au Zambia kwenda Tanzania utakuwa wa haraka na wa kiwango kukubwa na hivyo kipato kuongezeka..Kwa mfano kwa siku tulikuwa tunaimport Metric tonne 10000 za Copper kutoka Ndola na Kapirimposhi maboresho yakaja kufanya tusafirishe Metric Tonne 200,000 huoni ni ushindi kwetu?!Mambo ya ajabu kweli 3Trilion ndo miaka 30 jaman
Nchi itakuwa kama China.Wapewe ikulu waisimamie kwa miaka 50.
Bora wachina kuliko waarabuMamlaka ya Reli ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa mpango wake wa muda mrefu wa kuifufua reli hiyo umeingia hatua ya utekelezaji kwa Mkataba wa thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC), kwaajili ya kusimamia na kuendesha reli hiyo kwa Kipindi cha Miaka 30.
Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) inayomilikiwa na serikali ya China, inatarajiwa kuifanyia ukarabati na kuendesha reli ya TAZARA kupitia uwekezaji wenye thamani ya Takriban Tsh. Trilioni 3.7 (Dola za Marekani Bilioni 1.4) na itapewa mkataba wa miaka 30.
Katika taarifa iliyotolewa Desemba 24, 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa TAZARA, Bw. Bruno Ching’andu amesema “Mpango wa kuifufua TAZARA, ambao ulizinduliwa rasmi Novemba 2025, sasa umeingia hatua ya utekelezaji. Mshirika wetu ameanza kuhamasisha vifaa, timu za wataalamu na msaada wa kiusalama ili kuruhusu kazi uza ukarabati kuanza.”
===== For English Audience ====
The Tanzania-Zambia Railway Authority (Tazara) said its long-awaited revitalisation programme has entered an active stage following the mobilisation of equipment, technical personnel and other resources by its partner, China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC).
The state-run CCECC) is set to revitalise the Tazara through a $1.4 billion investment for rehabilitation and operations, securing a 30-year concession to run the key trade route connecting Zambia's copper belt to Dar es Salaam port.
In a statement issued on Wednesday, Tazara Managing Director and Chief Executive Officer, Mr Bruno Ching andu, said the move marked a critical transition from planning to implementation, laying the groundwork for phased rehabilitation of the ageing railway infrastructure.
"The revitalisation programme, which was officially launched in November 2025, has now moved into its active stage," Mr Ching'andu said. "Our partner has commenced the mobilisation of equipment, technical teams and logistical support to enable rehabilitation works to proceed."
SOURCE: THE CITIZEN
Great thinker wewe ujue.Kuna mabehewa na engine havitumiki tena China na hawana pa kuvitupa, Hi yo vitaletwa huku na tutapigwa bei ya kufa mtu😭😭😭😭