makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Unataka nikupe mfano mwingine halisi? Au nikufafanulie kwanza hili la train?Great thinker wewe ujue.
Mabwege wanabisha tu, HAWAIONI hii fursa kubwa. Asante mkuu kwa madiniNi hivi
China anavuna hela nyingi sana Zambia, na njia rahisi ya kutoa malighafi Zambia amegundua ni hii Reli aliyojenga mwenyewe
Mizigo mingi sana bandarini inayosafirishwa ni ya wachina wa Zambia, na pia mzigo wa Cooper wote unaoletwa bandarini ni wa Wachina
Ametambua kuwa magari ya mizigo hana nguvu sababu ni watu binafsi, sasa wenye magari makubwa wakae mkao wa kuliwa.