Kampuni ya China yazindua paneli za jua za photovoltaic nchini Kenya

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
274646508_4685665344878075_2056349333626084224_n.png
Kampuni ya China JinkoSolar jana Jumatano ilizindua paneli zake mpya za jua aina ya photovoltaic “Tiger Neo” zenye uwezo wa kuzalisha megawati 410 hadi 620 za umeme kwenye soko la Kenya ili kuhimiza upatikanaji wa umeme nchini humo.

Meneja wa maendeleo ya biashara wa kampuni hiyo kanda ya Kusini mwa Sahara Bw. Sammy Borothi, amesema mjini Nairobi kuwa paneli hizo zinafaa kwa matumizi ya nyumbani na viwandani.

Amesema paneli hizo zimetumia teknolojia za kisasa ili kuhakikisha Kenya inaweza kutumia raslimali zake nyingi za nishati ya juu kwenye usambazaji wa umeme nchini kote.
 
Safi sana,Naingilia kwa Tanga natokea Msa nachukua Panel zangu natia Shamba
 
Meanwhile Mmarekani akichochea ugomvi na kujidai kumhurumia na kumwombea Mwukraine!
 
Kampuni ya China JinkoSolar jana Jumatano ilizindua paneli zake mpya za jua aina ya photovoltaic “Tiger Neo” zenye uwezo wa kuzalisha megawati 410 hadi 620 za umeme kwenye soko la Kenya ili kuhimiza upatikanaji wa umeme nchini humo.

Meneja wa maendeleo ya biashara wa kampuni hiyo kanda ya Kusini mwa Sahara Bw. Sammy Borothi, amesema mjini Nairobi kuwa paneli hizo zinafaa kwa matumizi ya nyumbani na viwandani.

Amesema paneli hizo zimetumia teknolojia za kisasa ili kuhakikisha Kenya inaweza kutumia raslimali zake nyingi za nishati ya juu kwenye usambazaji wa umeme nchini kote.

Shukrani, ila muhimu uwe unaweka na link kabisa, hizi panels ndio dili siku hizi, unaondokana na gharama za umeme kabisa, na kama unaishi kwenye mataifa ya kimaskini zenye mgao kila siku utafaidika sana.
 
Back
Top Bottom