DodomaTZ
Senior Member
- May 20, 2022
- 197
- 233
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo, kampeni hizo zimekuwa zikifanyika kupitia mitandao ya kijamii pamoja na makundi mbalimbali ya WhatsApp, ambapo taarifa zinazoenezwa zinadaiwa kuwa na nia ya kupotosha umma na kuharibu sifa ya kampuni.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, ambaye amesisitiza kuwa CRC itaendelea kusimamia misingi ya uwazi, uadilifu na weledi katika utoaji wa huduma zake.