Kampuni ya Dubai kwenye jezi ya yanga

Kampuni ya Dubai kwenye jezi ya yanga

wenzetu wako bize kuhamasisha mashabiki baada ya mashabiki kugoma kuhudhuria mechi za simbaa baada ya kula mkono. 5g
de08dedb-2755-4ea5-97b7-1a43a83ab454.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameua kwa kila kitu
1) Ubunifu wa uzinduzi ni wa kipekee sana
2) Jezi ni kali mno kuna sehemu niliona video nilijua ni timu ya ulaya, nikaja kustuka nilipoona logo ya Yanga kulia.
3) Kifuani kakaa kampuni mpya kabisa tofauti na aliyekuwepo msimu uliopita
4) Wamefanya bonge la surprise kwa makolofive wakijua Yanga msimu huu wa makundi hawana jezi mpya.
Huo ni mtazamo wako wewe shabiki wa yanga. The moment ulivyoingiza neno makolofive, umepoteza kabisa objectivity katika hoja yako. Ati kama jezi za Ulaya? Acha utani dogo.
 
Jezi za ulaya hizo, huu ubunifu sio wa nchi hii....
 
Huo ni mtazamo wako wewe shabiki wa yanga. The moment ulivyoingiza neno makolofive, umepoteza kabisa objectivity katika hoja yako. Ati kama jezi za Ulaya? Acha utani dogo.
Hatuwezi kulingana mtazamao na kila mtu. Na isitoshe huu uzi kuhusu jezi inayohusu Yanga na mimi ni mshabiki wa Yanga hilo. Kwahiyo kilichokuuma ni hilo neno makolofive?
 
Wameua kwa kila kitu
1) Ubunifu wa uzinduzi ni wa kipekee sana.

2) Jezi ni kali mno kuna sehemu niliona video nilijua ni timu ya ulaya, nikaja kustuka nilipoona logo ya Yanga kulia.

3) Kifuani kakaa kampuni mpya kabisa tofauti na aliyekuwepo msimu uliopita.

4) Wamefanya bonge la surprise kwa makolofive wakijua Yanga msimu huu wa makundi hawana jezi mpya.
Sisi tupo na mo extra

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom