Wanaposema kuwekeza katika reli wanamaanisha sekta gani haswa yaani wanajenga Nini au kutoa huduma gani kuhusiana na reliMuhimu tu huo uwekezaji wao uwe na manufaa kwa pande zote mbili. Siyo upande mmoja unufaike, huku upande mwingine ukilia na kusaga meno.
Inawezekana ikawa uendeshaji wa reli yenyewe, kama wachina wanavyoendesha ile ya Kenya.Wanaposema kuwekeza katika reli wanamaanisha sekta gani haswa yaani wanajenga Nini au kutoa huduma gani kuhusiana na reli
ingekuwa bwana yule saa hizi mnasifia tu, lakini kwakuwa ni huyu mama hamuishi kutoa maneno yenye kulenga kuwatia watu wasiwasiWaarabu ndo shanogewa hivyo.
Inawezekana wamekwishapata kiunganishio mahususi.
Wanaposema kuwekeza katika reli wanamaanisha sekta gani haswa yaani wanajenga Nini au kutoa huduma gani kuhusiana na reli
Mimi naona Mama ana PR nzuri kwa wapinzani kuliko bwana yule! Angekuwa bwana yule hapa watu wangeshaanza kuporomosheana matusi, wengine wangeitana wachaga, wengine wasukuma! Mama kawatibua wapinzani kidogo kwenye suala la ustaadhi abubakar, ila litakaa sawa sooningekuwa bwana yule saa hizi mnasifia tu, lakini kwakuwa ni huyu mama hamuishi kutoa maneno yenye kulenga kuwatia watu wasiwasi
Muhimu tu huo uwekezaji wao uwe na manufaa kwa pande zote mbili. Siyo upande mmoja unufaike, huku upande mwingine ukilia na kusaga meno.
Mkuu 'NIMEONA', naomba unioneshe katika maandiko yangu mengi humu JF ulipoona nikimsifia unayemwita 'bwana yule'. Siyo vizuri kuandika juu ya jambo usilokuwa na ushahidi nalo..ingekuwa bwana yule saa hizi mnasifia tu, lakini kwakuwa ni huyu mama hamuishi kutoa maneno yenye kulenga kuwatia watu wasiwasi
Mimi naona Mama ana PR nzuri kwa wapinzani kuliko bwana yule! Angekuwa bwana yule hapa watu wangeshaanza kuporomosheana matusi, wengine wangeitana wachaga, wengine wasukuma! Mama kawatibua wapinzani kidogo kwenye suala la ustaadhi abubakar, ila litakaa sawa soon
Ukitaka kuona ubabaishaji ulivyo, anza funzo la kwanza hapo kwa huyo waziri...Na reli ya sgr kwa mikoa ya kusini.
..reli hiyo itafika mpaka ulipo mradi wa chuma na makaa.
..Elsewedy ndio watakaojenga na kuendesha reli hiyo, kama nimemuelewa vizuri waziri wa uwekezaji.
..kiwanda cha mbolea kitakuwa ni sehemu ya mradi wa gesi asilia.
Rais hajakataa kukutana na wapinzani, tatizo ni pale CDM wanapotaka kuhodhi upinzani TZ. Rais anataka akutane na vyama vyote vya upinzani vikiwemo hivyo mnavyovidharau, ila ninyi ndugu mnasema hatuwezi kukaa na CCM B pamoja na kila aina ya kejeli. Hilo suala la pili naamini kama mkikutana na Mama mtaliweka sawa...Rais hataki kukutana na wapinzani.
..Raisi pia hataki wapinzani wakutane ktk vikao na makongamano yao.
Hamuogopi 'gaidi' Mbowe atalipua hio miundo mbinu?Muhimu tu huo uwekezaji wao uwe na manufaa kwa pande zote mbili. Siyo upande mmoja unufaike, huku upande mwingine ukilia na kusaga meno.
Rais hajakataa kukutana na wapinzani, tatizo ni pale CDM wanapotaka kuhodhi upinzani TZ. Rais anataka akutane na vyama vyote vya upinzani vikiwemo hivyo mnavyovidharau, ila ninyi ndugu mnasema hatuwezi kukaa na CCM B pamoja na kila aina ya kejeli. Hilo suala la pili naamini kama mkikutana na Mama mtaliweka sawa.
NakuelewaWaarabu ndo shanogewa hivyo.
Inawezekana wamekwishapata kiunganishio mahususi.
Kwenye mahojiano na Kikeke alisema alikuwa anasubiri vyama vya siasa vijipange, na sasa kataarifiwa vimejipanga hivyo atakutana nao soon! Nafikiri kikao hicho ndicho kinapaswa kutumiwa na wapinzani kutoa nyongo zao. CDM nao waache arrogance, waende wakaudhurie kikao na wenzao, hii mambo ya kusema hawawezi kukaa na TLP meza moja inabomoa na si kujenga..kama chadema ni tatizo, raisi angeweza kukutana na vyama vingine, badala yake anadai anataka kurekebisha uchumi kwanza.
..sio lazima raisi mwenyewe akutane na vyama vya siasa ktk hatua ya awali.
..Mkutano na raisi ungeweza kutanguliwa na vikao kati ya waziri asiyekuwa na wizara maalum na vyama vya upinzani.
..muhimu kuliko yote ni kuweka mazingira yanayotoa haki sawa kwa vyama vyote vya siasa hapa nchini.