babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,173
ExxonMobil kampuni ya kuzalisha oil and gas imesema leo kwamba faida yao ya robo mwaka itaongezeka kwa zaidi ya dola bilioni 2 kutoka na kupanda kwa bei za oil and gas.
ExxonMobil ni kampuni ya Marekani na ya pili kwa ukubwa duniani. Inatazamia kupata faida ya jumla ya dola bilioni 11 kwa kipindi cha kwanza cha robo mwaka.
Ikumbukwe bei za oil and gas zilianza kupanda hata kabla ya vita ya Ukraine na sanctions!
Bei ya kupanda kwa mafuta kwenye soko la dunia imechangia kupanda kwa bidhaa mbali mbali duniani.
My take:
Kwanini wanaongeza bei zao na hatimaye kupata faida kubwa?
This is hard pill to swallow. I hope they are going to tax the living shit out of these oil corporations!