Kampuni ya FIC imenitapeli. Naombeni Ushauri

Acha mpigwe maana mmezidi ujinga,nyie ni wabishi hamsiki
Acha mnyooshweee

Eti mtu anakuambia toa hela kiasi fulani sisi tunawekeza na tunaizalisha hyo hela,sasa hizo hela wanazo kusanya kwa mambugila wanawekeza wapi mshaona hyo biashara yaoo
Nchii hii ina mijitu mijng kabisaaa
Ndomana hata yule dada mwenye makalio makubwa kajipigia mandezi
Eti mtu mzima anahojiwa anasema ohh,tulimuamini kwa sababu msanii sjui kioo cha jamii
Sjui anaonekana kwenye ubaa wtf

Nakazia tena Acha mpigweee na hela hizo serikali wkizi recover msitegemee kurudishiwaa pk nyiee

Ova
 
Kwani CCM wanasemaje?
 
 
Hela mtandaoni zipo nyingi tu japo zinahitaji hesabu ya hali ya juu
Sasa kwa Bongo, mtu anajitokea huko hajui hesabu hata ya hasi na chanya eti na yeye anajichanganya kwenye Forex kwa sababu amesikia watu wanapata hela....anaishia kupata sifuri
Hela za mtandaoni zinahitaji sana uvumilivu na kufanya maamuzi sahihi (hesabu); lakini pia, usijaribu kina cha mto kwa miguu miwili namaanisha, weka hela kidogo kidogo huku ukijifunza
 
Wajumbe hebu nisaidieni ni app gani wanakopesha pesa chapchap niwaumize nina shida na ela ndogo tu huku kwenye app ndio pakujipigia.
 
Kutaka hela za haraka. Wao wana uwekezaji gani hadi wakupe faidi hiyo kwa siku? Ngoja watu wapigwe. Wanatuona wajinga tulioweka UTT na kupata faida kidogo kidogo
Huku FIC pesa njenje😀😀
 
Dead and Gone! FIC is Ponzi scheme
 
Pole sana, wakati mwingine jaribu kufanya utafiti wa kutosha kabla ya kufanya chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…