Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Safi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajoin global investment mbadala wa LBL waendelee kuvunaishafungwa nafikiri
Mkuu umewahi kupata hasara kubwa ya biashara ya mazao au wanyama? Kila ukiwaona unasikia hasira Kali. Kuna jamaa yangu alipata hasara kubwa ya vitunguu, alimpiga marufuku mke wake kuunga vitunguu kwenye mboga, hataki kusikia hata harufu ya kitunguu illkuwa tafrani!Sasa si angekula. 😁
😥😥😥Mkuu umewahi kupata hasara kubwa ya biashara ya mazao au wanyama? Kila ukiwaona unasikia hasira Kali. Kuna jamaa yangu alipata hasara kubwa ya vitunguu, alimpiga marufuku mke wake kuunga vitunguu kwenye mboga, hataki kusikia hata harufu ya kitunguu illkuwa tafrani!
Hii ni picha ya mwanasheria anaitwa Ali huko mbele
Watu Wamepigwa Rungu Zito KichwaniTuache utani hawa jamaa wamesepa na hela za watu wengi sana
Kama uliwatumia hyo pesa kwa njia ya tigo pesa, wapigie tigo wareverse muamalaKampuni ya FIC Imenitapeli – Naombeni Ushauri
Ndugu wanajamii,
Nimejikuta katika hali ngumu baada ya kuwekeza zaidi ya shilingi milioni 1 katika kampuni ya FIC, lakini sasa fedha hizo hazipatikani. Nimejaribu kutoa bila mafanikio, na sijapata majibu ya kuridhisha kutoka kwa kampuni husika.
Naomba ushauri wenu:
Ningependa kusikia mawazo na ushauri wenu ili kujua hatua gani zichukuliwe katika hali hii.
- Je, kuna mwanajamii mwingine aliyekutana na tatizo kama hili na FIC? Kama ndiyo, ulitatua vipi?
- Nini hatua sahihi za kuchukua katika hali kama hii? Je, ni vyema kuripoti kwa vyombo vya sheria au kuna njia nyingine za kutatua suala hili?
- Kuna taarifa zozote kuhusu uhalali wa kampuni ya FIC nchini Tanzania? Je, imesajiliwa rasmi na mamlaka husika?
Asanteni.