Kampuni ya 'Go bet' ni matapeli sana kuweni makini

A

Anonymous

Guest
Kuna kampuni moja inatumia jina la go bet, Hawa jamaa ni matapeli Sana, wanatumia namba ya kampuni iliyokuwa inatumia na betpawa pamoja na namba ya malipo, namba ya kampuni ni 122122 malipo ni 60124815, ukiweka pesa umeliwa hakuna huduma wanazotoa namba ya simu 0677040553 hawapokei simu na wanakublacklist ukishaweka pesa.

Mimi imenitokea, nadhani serikali wanalijua hili.
 
Mimi nimetapeliwa kiasi Cha 640,000/= pia email zao ni alfredcmsemo@gmail.com, mercy@aleka.tech, pia Kuna mtu anaitwa Michael masalu na dismas Paul ndio wahudumu.

Kuna kampuni inaitwa Nanovas Tanzania Ltd wanahusika kwenye hili maana walikuwa wanafanya kazi na kampuni ya Betpawa, maana ya Betpawa kuachana nao ndio wakaona watumie mjia hiyo kutapeli kwa kuwa namba ya biashara wanayo wao wenyewe na namba ya malipo na watu wengi wametapeliwa lakini hawajui Nini wafanye, hata ukiitafuta mtandaoni haipo
 
Meridian bet, parimatch , sportpesa, , acahba na kampuni mpya. Nyingi ni za wezi
 
Dawa ya haya makampuni tapeli ni kuwashtaki Bodi ya Michezo ya kubahatisha maana ndo wanaowapa leseni...kwanza wanatukana watu message zao wanazotuma[emoji848] afu pili kumbe utapeli mtupu
 
Mimi nimeshawapiga elfu 15,nikatoa kabisa
 
Meridian bet, parimatch , sportpesa, , acahba na kampuni mpya. Nyingi ni za wezi
Sio kweli mimi natumia sportpesa na m-bet, sijawai ona aina yeyote ya uwizi wizi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…