Ole Kwikwi
Senior Member
- Feb 1, 2020
- 103
- 217
Ni vyema ungemsikiliza,mbona amesifia kwa hicho mlichokifanya!Mkuu Yanga itakapoingia kwenye uwekezaji itakua aibu kwa manara na genge lake,sasa wewe unategemea ataliongelea vizuri jambo litakalokwenda kuwaacha uchi
Sent using Jamii Forums mobile app