Kampuni ya GSM imepanga kuiendesha Klabu ya Yanga kisasa kwa kuleta Mtendaji Mkuu (C.E.O)

Kampuni ya GSM imepanga kuiendesha Klabu ya Yanga kisasa kwa kuleta Mtendaji Mkuu (C.E.O)

Mkuu ungeweka facts zote mezani nafikiri Ingekua bora zaidi kuliko kuchukua kakipande kadogo tu ambacho alikua anafanya utani!

Manara amezungumzia Yanga vizuri kwamba ni hatua nzuri na akasema bila kuwa na Yanga imara hakuna Smba imara,,na huyo mzee amemsifia
Kwani hawezi kuongea vitu positive bila kupaka mavi kwa kisingizio cha utani. In reality, mazuri yote aliyoongea kabla yamefutwa na upuuzi wake huko mwishoni. Na anamaanisha. Kamkosea sana Pinto.
 
Swadakta...Taratibu wanaanza kufuata njia ya Simba SC
Wazo zima la uwekezaji kwa Tanzania lilianzia Yanga. Bahati mbaya hakuna club ilikuwa tayari kwa wakati ule. Credit kwa Simba ni kuanza kulitekeleza. Yanga inarudi kwenye wazo lake na itaangalia uzoefu wa Simba kufanya ya kwake.
 
Back
Top Bottom