barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Lengo lako halikuwa hilo la costs and benefits analysis, na pia ndo maana nikasema nchi hizi za Afrika mashariki, na pia niliposema mfaidika MKUBWA nbarafuyamoto Tatizo lenu na kinachowasumbua mnaangalia kila kitu kiushabiki na ushindani. Leo hii makampuni ya Uingereza ndio yanaongoza kwa uwekezaji Bongo, ina maana Uingereza hainufaiki kwa chochote katika uzalishaji na faida. Hili ni suala la kunufaika sote, japo Bongo itanufaika zaidi, inafaa mchangamkie sio kueneza chuki na kulialia kwa majungu.
Naomba ukipata fursa kapige darasa kuhusu costs and benefits analysis of both home country and host country in FDI.
Sidhani kama mwanzoni ulikuwa na lengo la COSTS AND BENEFITS ANALYSIS mwanzo, lengo lako lilikuwa ni FLAUNTING!barafuyamoto Tatizo lenu na kinachowasumbua mnaangalia kila kitu kiushabiki na ushindani. Leo hii makampuni ya Uingereza ndio yanaongoza kwa uwekezaji Bongo, ina maana Uingereza hainufaiki kwa chochote katika uzalishaji na faida. Hili ni suala la kunufaika sote, japo Bongo itanufaika zaidi, inafaa mchangamkie sio kueneza chuki na kulialia kwa majungu.
Naomba ukipata fursa kapige darasa kuhusu costs and benefits analysis of both home country and host country in FDI.
Ila ndo maana nikasema nchi hizi za Afrika Mashariki, sikuzihusisha nchi kama Uingereza na pia nikasema mfaidika mkubwa ni nchi ambayo kiwanda kipo maana yake nchi hiyo nyingine inafaidika pia.