Kampuni ya Kenya yanunua kiwanda cha Tanzania

barafuyamoto Tatizo lenu na kinachowasumbua mnaangalia kila kitu kiushabiki na ushindani. Leo hii makampuni ya Uingereza ndio yanaongoza kwa uwekezaji Bongo, ina maana Uingereza hainufaiki kwa chochote katika uzalishaji na faida. Hili ni suala la kunufaika sote, japo Bongo itanufaika zaidi, inafaa mchangamkie sio kueneza chuki na kulialia kwa majungu.

Naomba ukipata fursa kapige darasa kuhusu costs and benefits analysis of both home country and host country in FDI.
Lengo lako halikuwa hilo la costs and benefits analysis, na pia ndo maana nikasema nchi hizi za Afrika mashariki, na pia niliposema mfaidika MKUBWA n

Sidhani kama mwanzoni ulikuwa na lengo la COSTS AND BENEFITS ANALYSIS mwanzo, lengo lako lilikuwa ni FLAUNTING!
Ila ndo maana nikasema nchi hizi za Afrika Mashariki, sikuzihusisha nchi kama Uingereza na pia nikasema mfaidika mkubwa ni nchi ambayo kiwanda kipo maana yake nchi hiyo nyingine inafaidika pia.
 
Utakua unatumia akili gani kutegemea kampuni ya Kenya iwekeze Tanzania halafu Kenya ndio inufaike zaidi???
Labda iwe zile kampuni za madini, ndio huwa zinawanyofoa na kuyaelekeza hayo madini kwao huku wakiwaacha nyie na mahandaki matupu na umaskini, lakini kiwanda cha kawaida, lazima nchi mwenyeji inufaike kwanza halafu kwa formula za faida na mapato ziifikie nchi inakotoka.
 
Ningependa kujua wanahamisha Kiwanda ktk TZ yetu au kinabakia TZ?

Mkuu, jamaa wana lengo la kuingia ubia na serikali kusambaza dawa zao kwenye hospitali za serikali, kwani hadi sasa wanasambaza kwenye zile za binafsi pekee.
 
H
In kenya no one know anything about tanzania we only know magufuli kikwete and mkapa

But ask any tanzania

Who is Duale and what position does he hold and where does he rep? They will tell you

Ask them who is ruto they will tell you
Kidero
Joho
Kuria

They live and eat kenya this people i dont know any tanzanian apart from Magufuli Diamond Alikiba Vanessa mdee(who has lived in kenya for 10yrs with Namtero ) and probably few othe musicians
Hata wewe Dada nakujua.
 
mwisho tutainunua mpaka tz iwe county number 48..mheshimiwa Magu awe govenor.simjui vice president wa tz but atakua the deputy govenor.
It will never happen. Sweet dreams my dear neighbor.
 
In kenya no one know anything about tanzania we only know magufuli kikwete and mkapa

But ask any tanzania

Who is Duale and what position does he hold and where does he rep? They will tell you

Ask them who is ruto they will tell you
Kidero
Joho
Kuria

They live and eat kenya this people i dont know any tanzanian apart from Magufuli Diamond Alikiba Vanessa mdee(who has lived in kenya for 10yrs with Namtero ) and probably few othe musicians
Naona dili la Uganda oli pipeline linawapa headache.

Tz ya leo si ya jana, This is a race to become East african economic powerhouse.
 
Back
Top Bottom