Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliahidiwa kugawiwa kila mtu gunia moja mojaMungu ametusikia wakulima, baada ya kudhulumiwa korosho zetu na bwana yule
Juu ya ile ya Soko?
Soko gani, na bei ya Mwaka Gani, (Soko la Dunia au?), yaani wenyewe wakita soko linasema kiasi kadhaa wenyewe wanaongeza
Kila kitu ni hatua, serikali inaweza kuongea na huyo mwekezaji na wengine wajenge viwanda ili wakinunua basi wamalize kila kitu hapa hapa!Ingawa ni vizuri wakulima wa korosho wamepata soko, lakini hii inazidi kukomaza ile dhana ya kuwa sisi ni exporters zaidi wa raw materials kuliko finished products. Serikali inabidi iweke mazingira wezeshi ya kuhakikisha kuna uwekezaji zaidi kwenye viwanda vya kuongeza thamani ya mazao ghafi. Nchi haisongi mbele kwa kuuza raw materials, mkazo inabidi uwekwe kwenye value adition. We need to move up the value chain in production.
Sasa does that make sense yaani anunue zaidi ya Global market price ili yeye azifanyie nini au amuuzie nani wakati yeye katika wanunuzi wote ndio bei yake ipo juu, Au Quality ya hii ni bora zaidi?
Sijajua wameamua kununua kwa bei hiyo wao wenyewe labda wana malengo yaoSasa does that make sense yaani anunue zaidi ya Global market price ili yeye azifanyie nini au amuuzie nani wakati yeye katika wanunuzi wote ndio bei yake ipo juu, Au Quality ya hii ni bora zaidi?
Labda nina matatizo ila to me it does not add up, By the way hivi kilo moja ya Korosho Supermarket ni Kiasi gani retail price kwa Bongo
Simply speculating: Tanzania has an edge in the market because its cashew season precedes that of the biggest producers like Vietnam and India. The timing could be a factor.Sasa does that make sense yaani anunue zaidi ya Global market price ili yeye azifanyie nini au amuuzie nani wakati yeye katika wanunuzi wote ndio bei yake ipo juu, Au Quality ya hii ni bora zaidi?
Labda nina matatizo ila to me it does not add up, By the way hivi kilo moja ya Korosho Supermarket ni Kiasi gani retail price kwa Bongo
Ingawa ni vizuri wakulima wa korosho wamepata soko, lakini hii inazidi kukomaza ile dhana ya kuwa sisi ni exporters zaidi wa raw materials kuliko finished products. Serikali inabidi iweke mazingira wezeshi ya kuhakikisha kuna uwekezaji zaidi kwenye viwanda vya kuongeza thamani ya mazao ghafi. Nchi haisongi mbele kwa kuuza raw materials, mkazo inabidi uwekwe kwenye value adition. We need to move up the value chain in production.
Gram 100 kwa USA ni $5, hivyo kilo moja yaweza toa $50Mungu ametusikia wakulima, baada ya kudhulumiwa korosho zetu na bwana yule