900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Mbona salum mwalimu kasema marubani wakachikichiaKampuni moja ya kukodisha helikopta nchini Kenya imekataa kutoa huduma kwa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma)
Hata sisi tutapata vya kwetu,lπππ
Inawezekana wanaona inaweza kuchukuliwa na serekaliBei wamefika ila wamekataa tu kutokana na kinachodaiwa kufanyiwa wana harakati wao
kwasababu serikali inatumia kodi ya wananchi vibaya kwa mambo ya hovyo kupitia mgongo wa chaumahabari njema sana hii kwa chadema, sijui kwanini π
Kama wanaokodi ndiyo hao wako karibu sana na walawiti unategemea hao wakenya wangeondoka salamaKampuni moja ya kukodisha helikopta nchini Kenya imekataa kutoa huduma kwa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma)
Hata sisi tutapata vya kwetu,lπππ
[emoji23][emoji23] ikaonekana imeleta uchocheziInawezekana wanaona inaweza kuchukuliwa na serekali
Wanaogopa mnaweza msimalize madeni wakivuka kudai hapa muwapake mafuta vilainishi muwabomoe wameingia hofuKampuni moja ya kukodisha helikopta nchini Kenya imekataa kutoa huduma kwa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma)
Hata sisi tutapata vya kwetu,lπππ
vyama vya siasa ni mali ya umma sio taasisi za serikali gentleman πkwasababu serikali inatumia kodi ya wananchi vibaya kwa mambo ya hovyo kupitia mgongo wa chauma
Una uhakika? Chama kimoja tu ndio tunaona kina involvement wa Umma hadi wanawachangia kwenye mikutano yao wengine hata wanakopata hela hatujuivyama vya siasa ni mali ya umma sio taasisi za serikali gentleman π
Majirani zetu wapo na sisi kwenye hii vitaKampuni moja ya kukodisha helikopta nchini Kenya imekataa kutoa huduma kwa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma)
Hata sisi tutapata vya kwetu,lπππ
ndo maana vinapewa ruzuku kujiendesha , pesa ambayo ni ni kodi ya kila mtanzania πUna uhakika? Chama kimoja tu ndio tunaona kina involvement wa Umma hadi wanawachangia kwenye mikutano yao wengine hata wanakopata hela hatujui
Serikali ni ccmvyama vya siasa ni mali ya umma sio taasisi za serikali gentleman π
habari njema sana hii kwa chadema, sijui kwanini π
HQ chadema kulikua na supu ya celebration, hukuarifiwa?πHabari njema ilikuwa ni umati wa watu jana
Aisee kweli watu wanataka mabadiliko
Kuwa na adabu basiMnafira raia wao,Leo mnarudi kukodisha helicopter
HQ chadema kulikua na supu ya celebration, hukuarifiwa?π
Mbowe atakuwa amekataa kulipia matapeli yaleKampuni moja ya kukodisha helikopta nchini Kenya imekataa kutoa huduma kwa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma)
Hata sisi tutapata vya kwetu,lπππ