CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Ilitakiwa JWTZ ndiyo wamalize huu mchezo hapa hapa.ICC ni mahakama isiyokuwa na nguvu.
Ilitakiwa JWTZ ndiyo wamalize huu mchezo hapa hapa.ICC ni mahakama isiyokuwa na nguvu.
kumbe ndie ambae huwa anawalipia eee kwa miaka yote?Mbowe atakuwa amekataa kulipia matapeli yale
Yap ilikuwa inalipiwa kwa haki, nyie mnaiba mali za ummakumbe ndie ambae huwa anawalipia eee kwa miaka yote?
kwahiyo kumbe chadema ilikuaga inalipiwa?🐒
kwa haki ya nani kwa mafano?Yap ilikuwa inalipiwa kwa haki, nyie mnaiba mali za umma

Mtu anatoa cashkwa haki ya nani kwa mafano?![]()
Mtu kaandika tetesi watu wanaiyamini kama ndio Habari ya kweli nakuidadavua kama ilivo !!! nchi ngumu sana hii .Kampuni moja ya kukodisha helikopta nchini Kenya imekataa kutoa huduma kwa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma)
Hata sisi tutapata vya kwetu,l😍😍😍