Hata mimi nimehisi mkuu.[emoji1369]Humo wakiweka chanjo ya COVID - 19 wakasema wanaotaka "Kuchanjwa" au wa "LA" wajitokeze hata kwa hela watakaokuwa wengi sio wa "LA..!!" bali ninwa kinyume chake....[emoji1787][emoji2097][emoji2097][emoji2097][emoji2097][emoji2097][emoji91][emoji91][emoji91][emoji382][emoji382][emoji382]
Sasa jwa jinsi ninavyowajua wazungu tayari wameshafanya utafiti wao na kubaini kwamba ukitaka WAAFRIKA wachanjwe COVID kqa uwingi tuwaambie ni chanjo ya UKIMWI....!!![emoji1787][emoji1787][emoji2097][emoji2097]Ndo maana hata hata kwebye page za WIZARA YA KILIMO wanawasifia madenu weusi wa Rasta kumbe mmmmmmmmmh....!!!!
😃😃😃😃😃Chanjo hio wailete hata mie nipo tayari kuwa shamba darasa😂
Ahaa ndo mnavyotumwa, siyo? tunajua sana hila zozote mnazotaka kufanya. By the grace of God the Almighty we are far ahead than you think, there is no secret whatsoever....
Mbona jj siioni hapo
Atakufa vibaya sana huyo mwache ajitie uaminifu!Kaka kuabudu Mungu ni kitu kingine. Na uaminifu ni jambo jingine. Huwezi kuwa na mwenza wako muda wote . Mfano anaporudi kwao na kukutana na marafiki wa utotoni unakuepo ?!. Acha kabisa !
Mie sitachanja maana umri umekwisha nitupa mkono.Mimi sintachanja. Maana najiamini kwa uaminifu nilionao.
Na pia mpingaji mkubwa ameonekana aki kwichilwichi na mtu ambae inaonekana sio mkewe. Bila shaka atapenda kula kitu laiv ngozi kwa ngozi.Sidhani kama hii wataipinga kwa sababu inafanyiwa majaribio kwanza kwabla ya kuchanja watu.
Ungetengeneza ya kwako uliyokuwa unaitaka mapemaKati ya chanjo ya HIV na chanjo ya UVIKO, ni ipi ilitakiwa ije mapema.......mbwa hawa....
Efficiency rates za mwanzo zilikua based on previous variants. Hapo hata delta haikua imefikirika itakuja duniani. Lakini bado hizo vaccines zimekua na uwezo huo hapo ulioripotiwa. What an achievement by wazungu
Mtu mweusi anasubiria hiyo chanjo itoke aipinge bila hata tafiti![emoji205][emoji205][emoji205]
Kati ya chanjo ya HIV na chanjo ya UVIKO, ni ipi ilitakiwa ije mapema.......mbwa hawa....
Dah hii mbungi ikiingia wazungu watapuga mpunga sanaa africa kupitia chanjo hiii
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
unavo wafokea utadhan ulitoa fedha ya kufund hizo uchunguzi?Kati ya chanjo ya HIV na chanjo ya UVIKO, ni ipi ilitakiwa ije mapema.......mbwa hawa....