#COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

#COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

Kampuni inayotengeneza chanjo ya Covid ya Moderna inatarajia kuanza majaribio ya chanjo ya Ukimwi Jumatano ijayo.

Mordena wana matumaini makubwa kwamba kutokana na teknolojia mpya ya mRNA ambayo imesaidia kupambana na virusi wa Covid, wanaamini kua chanjo ya Ukimwi kwa kutumia teknolojia hiyo itakua na mafaikio makubwa kwani hii teknolojia mpya ina faida kubwa zaidi kuliko chanjo nyingine zilizokua zinatengenezwa huko nyuma.

Mordena wanasema chanjo utaanza mwaka huu na inatarajia kuisha mwaka 2023. Kampuni nyingi za madawa ya binadamu ziko ama zimeanza majaribio ya chanjo ya ukimwi na kuna matumaini makubwa ya kufanikiwa.

Hii ni habari njema.

Mataga watabisha.
 
Mjadala uliopo mezani ni kwamba dawa hizi hazijafanyiwa majaribio.Kwa nini unaleta mjadala mpya wakati mjadala huu haujaisha?
Swali langu lipo ndani ya mjadala linauliza kuhusu hilo tatizo la kuganda damu kama lilioonekana wakati hayo majaribio ya chanjo.

Nakumbuka tushawahi kujadili hili la majaribio ya hizi chanjo ambapo mimi msimamo wangu ulikuwa kwamba hizi chanjo bado zipo kwenye majaribio.
 
Kuna vitu unachanganya ama huelewi.

Kwa uelewa wako kwa kua dawa ina ufanisi wa 100% basi haistahili kufanyiwa majaribio.

Majaribio hayafanywi tu kwa sababu ya ufanisi wa dawa ama chanjo, majaribio yanaangalia vitu vingi, madhara ya muda mfupi ama muda mrefu kwa mgonjwa, ufanisi wa dawa kwa muda gani na mambo mengine mengi.

Halafu hoja hapa sio ufanisi wa dawa, hoja ni unionyeshe wapi hizo chanjo zilifanyiwa majaribio. Hilo tu.
Haya hapa ni maelezo ya WHO ambao ni credible source wakisema kwamba chanjo ya corona imepitia hatua zote za majaribio kama inavyopaswa kuwa na ni chanjo salama.Unaweza kujisomea mwenyewe katika link ambayo nitaiweka hapa chini lakini pia naweka maelezo mafupi ambayo nimecopy kutoka kwenye website hiyo ya WHO kama ifuatavyo:

.............."Vaccines go through various phases of development and testing – there are usually three phases to clinical trials, with the last one designed to assess the ability of the product to protect against disease, which is called efficacy. All phases assess safety. The last phase, phase III, are usually conducted in a large number of people, often 10’s of thousands. After that, the vaccine needs to go through a review by the national regulatory authority, who will decide if the vaccine is safe and effective enough to be put on the market, and a policy committee, who will decide how the vaccine should be used.

In the past, vaccines have been developed through a series of consecutive steps that can take many years. Now, given the urgent need for COVID-19 vaccines, unprecedented financial investments and scientific collaborations are changing how vaccines are developed. This means that some of the steps in the research and development process have been happening in parallel, while still maintaining strict clinical and safety standards. For example, some clinical trials are evaluating multiple vaccines at the same time. It is the scale of the financial and political commitments to the development of a vaccine that has allowed this accelerated development to take place. However, this does not make the studies any less rigorous."

Source:Coronavirus disease (COVID-19): Vaccine research and development
 
Swali langu lipo ndani ya mjadala linauliza kuhusu hilo tatizo la kuganda damu kama lilioonekana wakati hayo majaribio ya chanjo.

Nakumbuka tushawahi kujadili hili la majaribio ya hizi chanjo ambapo mimi msimamo wangu ulikuwa kwamba hizi chanjo bado zipo kwenye majaribio.
Damu za watu wachache waliodungwa chanjo hizi kuganda haithibitishi kuwa chanjo hizi hazijafanyiwa majaribio kwa sababu majaribio siyo Mungu kwamba chanjo zikishafanyiwa majaribio basi zinakuwa OK asilimia mia moja.
 
Nani alikwambia kwamba chanjo inasababisha damu kuganda? Ndio maana nikakuuliza unajua visababishi vya damu kuganda?
Mfano chanjo kama Astrazeneca kuna kipindi ilikuwa inasimamishwa matumizi kwa watu kwa baadhi ya mataifa kwa side effects za kuganda damu, kwahiyo uelewe nazungumzia side effects za chanjo kusababisha kuganda kwa damu.
 
Damu za watu wachache waliodungwa chanjo hizi kuganda haithibitishi kuwa chanjo hizi hazijafanyiwa majaribio.Majaribio siyo Mungu kwamba chanjo zikishafanyiwa majaribio basi zinakuwa OK asilimia mia moja.
Mimi sizungumzii kuhusu chanjo kuwa Ok kwa 100 bali nimeuliza tatizo la kuganda kwa damu lilionekana wakati wanafanya majaribio ya hizi chanjo?
 
Hatari sana...

Taratibu tutafika tu huko...
Sijui na hii chanjo ya ukimwi itakua kama ya Corona kudungwa virusi vya ukimwi ati ndiyo chanjo...
 
Mimi sizungumzii kuhusu chanjo kuwa Ok kwa 100 bali nimeuliza tatizo la kuganda kwa damu lilionekana wakati wanafanya majaribio ya hizi chanjo?
Mimi hilo sijui wala sina haja ya kulijua kwa sababu hilo siyo mjadala wetu.Mjadala wetu ni kwamba chanjo zimefanyiwa majaribio au la.

Mjadala wetu hauhusu ni kitu gani kilitokea wakati wa majaribio bali ni chanjo zimefanyiwa majaribio au la.Yaliyotokea wakati wa majaribio yapo nje ya mjadala wetu.Karibu kwenye mjadala wetu shekhe.
 
Mfano chanjo kama Astrazeneca kuna kipindi ilikuwa inasimamishwa matumizi kwa watu kwa baadhi ya mataifa kwa side effects za kuganda damu, kwahiyo uelewe nazungumzia side effects za chanjo kusababisha kuganda kwa damu.

Pole sana mkuu ,fuatilia hiyo chanjo kwanini ilisimamishwa,kulitokea cases kadhaa kwa waliochanjwa ,wakasimamisha kuchunguza kama ni kweli chanzo ni chanjo ,wakaja kugundua chanjo haijasababisha kuganda kwa damu na W.H.O wakairuhusu iendelee...Ndio maana swali langu la awali niliuliza ushawahi kufatilia vitu vinavyosababisha blood clot? Wataalam wanasema mtu aliyechanja ana chance ndogo sana ya kupata blood clot kuliko ambaye hajachanjwa.

Kwa kukusaidia baadhi ya mambo yanayosababisha blood clot:-

1.Uvutaji wa sigara.
2.Madawa ya uzazi wa mpango
3.Mwili kuwa inactive kwa muda mrefu hasa kwa wale waliolazwa kitandani
4.Covid19
5.Obesity

Please note sio watu wenye hivyo vitu au watumiaji wa hivyo vitu watapata blood clot yaani chances ni kubwa ukiwa na hivyo vitu ila unaweza usipate.
 
Sijui itakuaje pale chanjo zote hata hizi za polio zitakapobadilika kwenda hizi za mRNA

Nahisi watu watagoma kuchanja na magonjwa kama vile polio na surua yaliyokuwa yamepotea yatarudi kwa mwanga wa radi
 
Mimi hilo sijui wala sina haja ya kulijua kwa sababu hilo siyo mjadala wetu.Mjadala wetu ni kwamba chanjo zimefanyiwa majaribio au la.

Mjadala wetu hauhusu ni kitu gani kilitokea wakati wa majaribio bali ni chanjo zimefanyiwa majaribio au la.Yaliyotokea wakati wa majaribio yapo nje ya mjadala wetu.
Wewe unachekesha mkuu kwa sababu kama haujali zoezi lenyewe la majaribio lilikuaje maana yake haujali hata hilo jaribio lenyewe yani kwako wewe hata majaribio si muhimu ndio maana haujali kwenye majaribio hali ilikuaje nini kilitokea.
 
Mkuu najali sana juu ya ni kitu gani kilitokea wakati wa majaribio lakini kwa bahati mbaya hiyo siyo mjadala wetu kwa sasa.Kwa sasa hivi mjadala wetu unahusu majaribio yalifanyika au la.

Kuna vitu viwili ambavyo nimejifunza kutoka kwako.Moja, either una nia ya kututoa kwenye reli ya mjadala wetu au mbili huenda kuna point unataka kuiunganisha na mjadala wetu lakini unashindwa kuiunganisha inavyotakiwa.

Kama kuna kitu unataka kukiunganisha katika mjadala wetu kaa chini ufikirie namna ya kukiunganisha vizuri kwenye mjadala bila kuonekana kuwa unataka ututoe kwenye reli ya mjadala.Ni wajibu wako kujenga hoja vizuri ili uonekane kuwa upo ndani ya mjadala wetu na huna nia ya kututoa kwenye reli.
 
Hizi fursa hizi, kwa hiyo maslahi ya viwanda vya kondom vipo mashakani?

Watu wengi hua hawaogopi mimba wala magonjwa mengine ya zinaa, wanaogopa ukimwi wanapotumia kondom. Chanjo ikipatikana si ndio zitapotea kabisa mtaani?

Hii ndio vita ya kiuchumi sasa!!!!
 
Mkuu najali sana juu ya ni kitu gani kilitokea wakati wa majaribio lakini kwa bahati mbaya siyo mjadala wetu kwa sasa.Kwa sasa hivi mjadala wetu unahusu majaribio yalifanyika au la.

Kuna vitu viwili ambavyo nimejifunza kutoka kwako.Moja, either una nia ya kututoa kwenye reli ya mjadala wetu au mbili huenda kuna point unataka kuiunganisha na mjadala wetu lakini unashindwa kuiunganisha inavyotakiwa.

Kama kuna kitu unataka kukiunganisha katika mjadala wetu kaa chini ufikirie namna ya kukiunganisha vizuri kwenye mjadala bila kuonekana kuwa unataka ututoe kwenye reli ya mjadala.Ni wajibu wako kujenga hoja vizuri ili uonekane kuwa upo ndani ya mjadala wetu na huna nia ya kututoa kwenye reli.

UHURU JR amefikia hapo baada ya wewe kuandika kwamba moja ya ushahidi kwamba chanjo zimefanyiwa utafiti na majaribio ni hizo efficiency/ efficacy.

Umefuatilia hizo taarifa hivi karibuni usahihi wa hizo rates za effectiveness?
Bado tafiti zaidi zinaendelea lakini msimamo wa sasa hivi umeshuka kufikia hapa.

Screenshot_20210815-110025.jpg

Here's How Well COVID-19 Vaccines Work Against the Delta Variant
 
Back
Top Bottom