#COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

#COVID19 Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

hiyo chanjo hakuna Gwajima wala Polepole watakaolazimishwa kwenda kuchanja ila wataililia kwa magoti. ujinga ni jambo hatari sana, ujinga unaua.
 
Hahahah, hata wafanyeje, hatupo tayari kujaribiwa chanjo ya Corona , walikuwa wapi miaka yote? Hadi watu wamehoji ndio wanajidai majaribio?
 
We umesema hakuna kabisa side effect ya kuganda damu yenye kusababishwa na hizo chanjo na ukanitajia mambo yenye kusababisha damu kuganda.

Nikakujibu kwamba hao waliochanjwa na damu zao zikaganda hazijasababishwa na chanjo ,Dr Malecela ametoa tu takwimu kati hao 6m waliochanjwa 6 tu ndio walipatwa tatizo la kuganda kwa damu na si chanjo ndio iliyosababisha.
 
Hahahah, hata wafanyeje, hatupo tayari kujaribiwa chanjo ya Corona , walikuwa wapi miaka yote? Hadi watu wamehoji ndio wanajidai majaribio?
.
20210731_064449.jpg
 
Back
Top Bottom