Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
duuuuuhHizi pen nazikubali sana pamoja na zile Speedo. Nkiandikiaga hizi muandiko hua unakua kama nmetype na computer
Walizingatia customers' needs, siku hizi kuna peni hazishikiki hata mwandiko haueleweki zenyewe ni kuteleza na kutapika tu,Ni kitu kigumu kuona kampuni kubwa zisipobadilisha muundo wake kutokana na soko.
Lakini kwa bic kaweza ili,Je wataalamu wa masoko ni kipi kimesaidia kubaki mda mrefuView attachment 2514523
Andika hapa tuone mbali na hapo ni chai nyepesiHizi pen nazikubali sana pamoja na zile Speedo. Nkiandikiaga hizi muandiko hua unakua kama nmetype na computer
Na spido?zilikua kama tangawiziPeni za Cello ziliishia wapi??
Kwasababu ni FreemasonNi kitu kigumu kuona kampuni kubwa zisipobadilisha muundo wake kutokana na soko.
Lakini kwa bic kaweza ili,Je wataalamu wa masoko ni kipi kimesaidia kubaki mda mrefu
View attachment 2514523
Freemason. Usijichanganye kuendelea kuzitumia shauri zako.Duuh hizi kampuni zinawezaje tangu mwaka 55 hadi leo kitu bado kipo
Umenikumbusha nyembe aina ya TOPAZ, viberiti vya LUCKY & KANGAROO.Bic hawana mpinzani tangu waingie East Africa. Wino unaotoka haubadiliki tangia unaianza mpaka inaisha.