Kampuni ya kutengeneza kalamu za BIC iliwezaje kukaa muda mrefu bila kubadilisha muundo?

Kampuni ya kutengeneza kalamu za BIC iliwezaje kukaa muda mrefu bila kubadilisha muundo?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Ni kitu kigumu kuona kampuni kubwa zisipobadilisha muundo wake kutokana na soko.

Lakini kwa bic kaweza ili,Je wataalamu wa masoko ni kipi kimesaidia kubaki mda mrefu

Screenshot_20230212-113713_Facebook.jpg
 
Ni kitu kigumu kuona kampuni kubwa zisipobadilisha muundo wake kutokana na soko.
Lakini kwa bic kaweza ili,Je wataalamu wa masoko ni kipi kimesaidia kubaki mda mrefuView attachment 2514523
Walizingatia customers' needs, siku hizi kuna peni hazishikiki hata mwandiko haueleweki zenyewe ni kuteleza na kutapika tu,
 
Nilikua napenda kutafuna peni ya speedo yaani nahakikisha kifuniko kimeisha nahamia kwenye mkia 🤭

Cello ndio nilikua napenda kuandikia muandiko unanyooka,

Bic nilikua sizipendi kwanza nilikua siwezi kutafuna, pili muandiko ulikua mnene
 
Bic hawana mpinzani tangu waingie East Africa. Wino unaotoka haubadiliki tangia unaianza mpaka inaisha.
Umenikumbusha nyembe aina ya TOPAZ, viberiti vya LUCKY & KANGAROO.

Siku hizi bidhaa nyingi ni nzuri zinapoingia sokoni tu lakini baada ya muda zinachakachua ubora wake, zinabadili aina ya jina halisi la kampuni ili zisilipe kodi au zinafanyiwa figisu zisidumu katika soko.

Mfano:

Maji ya kunywa yamekuwa yakifanyiwa uhuni mwingi sana kama;

Kilimanjaro.

Pangani.

Ndanda.

Hills.

Mimaji iliyopo mingi ni ya Afya na ladha yake ni mbaya kuliko uhalisia wa maji unavyotakiwa kuwa "tastless" na ndiyo yamekuwa meeengi pia, na sasa maji saizi lita 1 hata hayapatikani kwa madai ya wafanyabiashara kuwa hayana faida.

Hii nchi ni ngumu sana.
 
Back
Top Bottom