mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Vp Turbo??Na spido?zilikua kama tangawizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp Turbo??Na spido?zilikua kama tangawizi
Mkuu na uzee wote huo ulikua hujaoa??Bic na Speedo. Nilitumia sana kumwandikia barua mpenzi wangu miaka ile.
Umenikumbusha maji ya Dasani yalikuwa na taste ya maji ya madafuUmenikumbusha nyembe aina ya TOPAZ, viberiti vya LUCKY & KANGAROO.
Siku hizi bidhaa nyingi ni nzuri zinapoingia sokoni tu lakini baada ya muda zinachakachua ubora wake, zinabadili aina ya jina halisi la kampuni ili zisilipe kodi au zinafanyiwa figisu zisidumu katika soko.
Mfano:
Maji ya kunywa yamekuwa yakifanyiwa uhuni mwingi sana kama;
Kilimanjaro.
Pangani.
Ndanda.
Hills.
Mimaji iliyopo mingi ni ya Afya na ladha yake ni mbaya kuliko uhalisia wa maji unavyotakiwa kuwa "tastless" na ndiyo yamekuwa meeengi pia, na sasa maji saizi lita 1 hata hayapatikani kwa madai ya wafanyabiashara kuwa hayana faida.
Hii nchi ni ngumu sana.
Na shangingi na beifa jee?,Aya makalamu ya shangingi mademu walikuwa wanayapenda na wandika maboksiVp Turbo??
Coca cola imepitia mabadiliko mengi tu. Zimeingia coca zenye ladha tofauti na hata chupa zimebadikika maumbo na ujazo.Same concept as Coca Cola
Kubadili muundo kutaondoa ile natural brand yake ambayo tayari ishakuwa kama culture miongoni mwa wateja wao
Sisi ndio waasisi wa kataa ndoa.Mkuu na uzee wote huo ulikua hujaoa??
Saiv tuna wajukuu zaid ya nane wewe bado
Ndiyo effect za kataa ndoa hizoSisi ndio waasisi wa kataa ndoa.
Ila baada ya kuona umri unasogea na hatufanyi maendeleo yoyote zaidi ya matanuzi mjini na viwanja busara zikaja na tukabadilisha mtazamo.
Mawazo ya kimasikini.Kwasababu ni Freemason