Kampuni ya kutengeneza kalamu za BIC iliwezaje kukaa muda mrefu bila kubadilisha muundo?

Kampuni ya kutengeneza kalamu za BIC iliwezaje kukaa muda mrefu bila kubadilisha muundo?

Umenikumbusha nyembe aina ya TOPAZ, viberiti vya LUCKY & KANGAROO.

Siku hizi bidhaa nyingi ni nzuri zinapoingia sokoni tu lakini baada ya muda zinachakachua ubora wake, zinabadili aina ya jina halisi la kampuni ili zisilipe kodi au zinafanyiwa figisu zisidumu katika soko.

Mfano:

Maji ya kunywa yamekuwa yakifanyiwa uhuni mwingi sana kama;

Kilimanjaro.

Pangani.

Ndanda.

Hills.

Mimaji iliyopo mingi ni ya Afya na ladha yake ni mbaya kuliko uhalisia wa maji unavyotakiwa kuwa "tastless" na ndiyo yamekuwa meeengi pia, na sasa maji saizi lita 1 hata hayapatikani kwa madai ya wafanyabiashara kuwa hayana faida.

Hii nchi ni ngumu sana.
Umenikumbusha maji ya Dasani yalikuwa na taste ya maji ya madafu
 
Siyo wao peke yao kwa upande huo wa kalamu [emoji2769][emoji2768] bali si wao pekee hata kwa upande wa bidhaa nyingine
 
SAwa na nyimbo za zamani hata zipigwe leo utadhani zimepigwa jana.
Na sio hizi za kina zuwena hata wiki haziamalizi zishachuja, wao ucheza na views.
 
Mkuu na uzee wote huo ulikua hujaoa??
Saiv tuna wajukuu zaid ya nane wewe bado
Sisi ndio waasisi wa kataa ndoa.

Ila baada ya kuona umri unasogea na hatufanyi maendeleo yoyote zaidi ya matanuzi mjini na viwanja busara zikaja na tukabadilisha mtazamo.
 
Back
Top Bottom