Kampuni ya kutengeneza kalamu za BIC iliwezaje kukaa muda mrefu bila kubadilisha muundo?

Umenikumbusha maji ya Dasani yalikuwa na taste ya maji ya madafu
 
Siyo wao peke yao kwa upande huo wa kalamu [emoji2769][emoji2768] bali si wao pekee hata kwa upande wa bidhaa nyingine
 
SAwa na nyimbo za zamani hata zipigwe leo utadhani zimepigwa jana.
Na sio hizi za kina zuwena hata wiki haziamalizi zishachuja, wao ucheza na views.
 
Mkuu na uzee wote huo ulikua hujaoa??
Saiv tuna wajukuu zaid ya nane wewe bado
Sisi ndio waasisi wa kataa ndoa.

Ila baada ya kuona umri unasogea na hatufanyi maendeleo yoyote zaidi ya matanuzi mjini na viwanja busara zikaja na tukabadilisha mtazamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…