Kampuni ya "Life Tanzania" ina uhusiano gani na TTCL?

Kampuni ya "Life Tanzania" ina uhusiano gani na TTCL?

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,809
Reaction score
6,948
Kwa muda mrefu sana nimegundua nikiweka SIM Card ya TTCL, ukaenda kwenye SIM Manager, badala ya kuonekana TTCL kama ilivyokuwa inaonyesha zamani, kwa sasa inaonyesha ni mtandao wa "Life Tanzania".

Ningependa kujua hii "Life Tanzania" ni nini na uhusiano wake na TTCL.

Nimeambatanisha kielelezo.
1000359832.jpg
 
Wamiliki wa Tigo wamechukua ubia mkuu
 
Back
Top Bottom