Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Hii kampuni ina jina kubwa kutokana na Ubora wa huduma ambazo iliwahi kuzitoa hapo siku za nyuma ikambatana na kuwa na mabasi mazuri yenye kiwango, ofisi nzuri na wahudumu wanaojali wateja.
Kwa sasa sijui ni kitu gani kimewakumba hawa jamaa, kwanza kabisa utunzaji wao wa magari umekuwa ni wa hovyo sana,nilikutana na ile Marcopolo Viagio G7 imechoka balaa, kwanza kwa hadhi ya ile bus ni ya kupeleka Ulanga, Ifakara kweli?
Mwendo wa barabara ya vumbi na mashimo ya kutosha, kwanza ilikuwa imetelekezwa stend kwa sababu ya ubovu, nyingine niliikuta karibu na Mindu imefichwa kwenye kinjia cha uchochoroni, inaonekana imetaga hapo muda mrefu.
Busi zao zinaharibika mara kwa mara,na utunzaji umekuwa wa hovyo sana,huduma zao nazo zimekuwa za hovyo. naiona hii kampuni inaenda kufa kama wasipojirekebisha, wajifunze kwa Kilimanjaro, bus zake ni safi sana na huduma ni nzuri sana.