DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Jamani nyie wakubwa naomba na mimi mnione nina kakampuni kangu mje mpitishe mabasi yenu na mazaga mengine ili na mimi nitokeee
 
Jibu lako Halina logic, kuna kitu inaitwa kutakatisha pesa, Lazima Mali zake zifanane na kile unachokifanya Hilo lipo kishersis tofauti na hapo Lazima uchunguzwe.

Kwa mfano unakuta MTU mshahara wake uko 1M per month. Lakini matumizi yake Kwa meezi ni 6M. Lazima uhoji hizo hela anazipataje?
 
Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
Furaha ya wachawi weusi sio wao kuwa kama tajiri bali kuona tajiri amepata hasara ama amefariki.

Afrika ngozi nyeusi na roho nyeusi
 
Furaha ya wachawi weusi sio wao kuwa kama tajiri bali kuona tajiri amepata hasara ama amefariki.

Afrika ngozi nyeusi na roho nyeusi

Yaani majitu yana laana ya ajabu sana aisee wanadhani kununua mabasi ni ishu kubwa anajiringanisha na baba ake alivyo mvivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…