Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Sawa Mkuu, Nimepokea UshauriTafuta hela mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mkuu, Nimepokea UshauriTafuta hela mkuu
Kodi yangu
Ndio zile bilioni zilizoongezeka kutoka Bilioni 37 hadi Bilioni 89, ndio mgao unatembea kwa ajili ya kutakatisha pesa
Acheni Mara moja wizi na ufisadi wa mali za umma.Mmekaririshwa vibaya na Ufipa mpka mnakua kama vilema
Kweli tuna safari ndefu, sawa Mkuu wacha tuendelee kuibiwa
Acheni Mara moja wizi na ufisadi wa mali za umma.
NARUDIA TENA ACHENI MARA MOJA WIZI NA UFISADI WA MALI ZA UMMA.Mwambie Kipara michongo anayopiga kwenye mradi wa umeme
Jibu lako Halina logic, kuna kitu inaitwa kutakatisha pesa, Lazima Mali zake zifanane na kile unachokifanya Hilo lipo kishersis tofauti na hapo Lazima uchunguzwe.Hata ukijua haitakusaidia. Punguza jazba na tafuta hela.
Ni sawa na mtu ukimkuta bar anatumia milion moja kunywea pombe, ukaanza kuuliza huyu mtu anatumia mshahara wake halali kweli?
NB: Hapa duniani kuna watu wanaishi na wengine wanapigania ili waishi. Punguza makasiriko, tafuta hela
Huyo ndio mwenhe mabasi ya Ester anakusikiliza tu yumo humu shauri yako atawaagiza admin waufute uzi wakoYaani muibe tu musiulizwe.
Si ndiyo yale uliyofokolewa kwa kilainishi, mimi nani nikubishie?Kichwa kimejaa mavi matupu utaelewa nini sasa
NARUDIA TENA ACHENI MARA MOJA WIZI NA UFISADI WA MALI ZA UMMA.
NI AMRI!
Si ndiyo yale uliyofokolewa kwa kilainishi, mimi nani nikubishie?
Huyo ndio mwenhe mabasi ya Ester anakusikiliza tu yumo humu shauri yako atawaagiza admin waufute uzi wako
Tafadhali uwe na kiasi unapojaribu kumquote mtu, sio vizuri kumvunjia mtu heshima yake.Hahaha kweli we tahira mnaibiwa na nani mzee
Furaha ya wachawi weusi sio wao kuwa kama tajiri bali kuona tajiri amepata hasara ama amefariki.Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
Kama hakulipa kodi utamfanya nini?Tunaulizia Kodi inalipwa halali?
Furaha ya wachawi weusi sio wao kuwa kama tajiri bali kuona tajiri amepata hasara ama amefariki.
Afrika ngozi nyeusi na roho nyeusi