Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Masikini mna roho mbayaKuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Tusamehe Tajiri. [emoji25]Masikini mna roho mbaya
Kabisa Mtaalam Lengo Letu Ni Kufaham Kama Kodi Imelipwa Kihalali na Sio Janja Janja
Mwigu boyRais wa mabasi na mawe
Sasa katibu wa mwigulu,kwani we baba yako ana hela?au huyo mwigu yeye babake alikuwa na hela?si alizaliwa na mchunga ng'ombe tu [emoji1787][emoji1787]wizi unalipa[emoji1787][emoji1787]
Mimi Nina Corolla 1998 model lkn nimeinunua kwa jasho langu. Hao walionunua mabasi Mia tunawajua sio kwamba tunasema tu.
Huu sio uwanja wa matusi, hata ukiongea kistaarabu utaeleweka tu ilmradi unaongea facts.We ni pimbi kama kipara ulichunguzwa na nani ? Na ndio maana una mawazo ya kimaskini sana umedumaa akili
Tafuta pesa ndugu. Kuna Takukuru na TRA watachunguza.Sion tatizo kwny alichosema,lazma utajiri wwte uchunguzwe muhimu kujua km ni utajir halali hufanyika dunian kote,CAG katoka kutema cheche watu wanachota tu afu we unadiss kuchunguzwa kwa kampuni iyo ya usafir,,unasema ni umaskini,acha kuna na kiherehere mzee hakuna tuzo za JF kwa wanaowahi kucomment
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni Mara moja kutaka kuwatoa watanzania wenzenu kafara kwenye hayo mabasi yenu mapya.Mfano ukijua pimbi kama wewe itakusaidia nini
Kila mtu anatafuta hela. Lakini gela ya umma ikiibiwa lazima tuulize.Tafuta pesa ndugu. Kuna Takukuru na TRA watachunguza.
Kitendo cha kusema, jamaa kaagiza mabasi 100 anatakiwa achunguzwe tayari huo ni wivu.
Tafuta hela, uishi maisha mazuri. Hapa duniani kila kitu kinawezekana tatizo ni wewe tu.
Inasemekana naww unapigwa pumbuKuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?
1. Mahakama ya mafisadi ishakufaKila mtu anatafuta hela. Lakini gela ya umma ikiibiwa lazima tuulize.
Acheni Mara moja wizi wa hela za umma.1. Mahakama ya mafisadi ishakufa
2. TAKUKURU ishakufa, imebaki jina tu.
Tafuta hela mkuu
Hakuna kampuni inayoweza kuagiza bus 200 kwa mara moja tz hiiKuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Wewe mwenyewe ni mwizi. Ukipewa ofisi muda mfupi unaanza kuiba na unaanza kuwa na dharauAcheni Mara moja wizi wa hela za umma.
We dada upo kwenye heat nini mbona unarukia wanaume hata huwajuiShida yako ipo kwenye kufuatilia waliofanikiwa na sio kufanya juhudi ufanikiwe kwa namna yako si ndio nyie wenye akili mbovu mtu akitajirika mnasema Kaua wazazi au ndugu zake
Wewe ndiye huna akili! Unafikri whistleblowers wana kazi gani?Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.