DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa katibu wa mwigulu,kwani we baba yako ana hela?au huyo mwigu yeye babake alikuwa na hela?si alizaliwa na mchunga ng'ombe tu [emoji1787][emoji1787]wizi unalipa[emoji1787][emoji1787]

Sasa kama anahela wewe inakugusa nini kichwani kuna ubongo au mavi
 
Mimi Nina Corolla 1998 model lkn nimeinunua kwa jasho langu. Hao walionunua mabasi Mia tunawajua sio kwamba tunasema tu.

We ni pimbi kama kipara ulichunguzwa na nani ? Na ndio maana una mawazo ya kimaskini sana umedumaa akili
 
We ni pimbi kama kipara ulichunguzwa na nani ? Na ndio maana una mawazo ya kimaskini sana umedumaa akili
Huu sio uwanja wa matusi, hata ukiongea kistaarabu utaeleweka tu ilmradi unaongea facts.
Unaongea Kama Dem wa kimakonde kwenye mchiriku....jirekebishe dogo.
 
Sion tatizo kwny alichosema,lazma utajiri wwte uchunguzwe muhimu kujua km ni utajir halali hufanyika dunian kote,CAG katoka kutema cheche watu wanachota tu afu we unadiss kuchunguzwa kwa kampuni iyo ya usafir,,unasema ni umaskini,acha kuna na kiherehere mzee hakuna tuzo za JF kwa wanaowahi kucomment

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta pesa ndugu. Kuna Takukuru na TRA watachunguza.
Kitendo cha kusema, jamaa kaagiza mabasi 100 anatakiwa achunguzwe tayari huo ni wivu.
Tafuta hela, uishi maisha mazuri. Hapa duniani kila kitu kinawezekana tatizo ni wewe tu.
 
Kila mtu anatafuta hela. Lakini gela ya umma ikiibiwa lazima tuulize.
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Inasemekana naww unapigwa pumbu
 
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?
Hakuna kampuni inayoweza kuagiza bus 200 kwa mara moja tz hii
 
Shida yako ipo kwenye kufuatilia waliofanikiwa na sio kufanya juhudi ufanikiwe kwa namna yako si ndio nyie wenye akili mbovu mtu akitajirika mnasema Kaua wazazi au ndugu zake
We dada upo kwenye heat nini mbona unarukia wanaume hata huwajui
 
CAG ameonesha mengi. Wizi wa kutisha na mama amewaomba wapishe kama niwaungwana

Hao waizi nao wamenogewa hawaondoki labda watenguliwe
 
Una akili za kimasikini sana. Tafuta pesa nawe ununue mabasi.
Afrika ukianza kuwa na mali nyingi wachawi wanakuwa wengi sana. Hutakiwi uwe na hela au mali nyingi Afrika.
Wewe ndiye huna akili! Unafikri whistleblowers wana kazi gani?
 
Umasikini mbaya sana! Hivi umasikini ukizidi ndio unakua fukara alafu ndio mchawi au kuna watu ni maskini at the sametym ni wachawi[emoji848]
JamiiForums-1729262235.jpg
 
Back
Top Bottom