DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguzwe kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je Kodi ya bandarini imelipwa halali?

Akili yako ndo imeishia hapo we ni kopo umechunguza mangapi yanayoendelea hapa nchini ? Uchunguzwe akili yako
 
Anyway hata wanunue Mia tatu malipo Ni hapa hapa.
Abdala kigoda alipokua mweka hazina wa CCM alikwapua mihela akanunua mabasi mengi tu SWABRA. Handeni Dar, Handeni tanga. Akawahonga polisi wawe wanakamata mabasi ya Hajees ili yake ya Pete. Mzee wa Hajees akaona isiwe tabu, alikua anajua maji yakijakwa pupa yasubiri yapite, akaondoa yake barabarani.
SWABRA Leo yako wapi?
Hata wakikwapua ma trilioni, watakula sahani moja Kama wengine, wstalala kitanda kimoja na pia wakifa kitakacho watenganisha na udongo Ni sanda tu.
 
Hata ukijua haitakusaidia. Punguza jazba na tafuta hela.

Ni sawa na mtu ukimkuta bar anatumia milion moja kunywea pombe, ukaanza kuuliza huyu mtu anatumia mshahara wake halali kweli?

NB: Hapa duniani kuna watu wanaishi na wengine wanapigania ili waishi. Punguza makasiriko, tafuta hela

Hahaha wanahisi kuwa tajiri ni dhambi
 
Anyway hata wanunue Mia tatu malipo Ni hapa hapa.
Abdala kigoda alipokua mweka hazina wa CCM alikwapua mihela akanunua mabasi mengi tu SWABRA. Handeni Dar, Handeni tanga. Akawahonga polisi wawe wanakamata mabasi ya Hajees ili yake ya Pete. Mzee wa Hajees akaona isiwe tabu, alikua anajua maji yakijakwa pupa yasubiri yapite, akaondoa yake barabarani.
SWABRA Leo yako wapi?
Hata wakikwapua ma trilioni, watakula sahani moja Kama wengine, wstalala kitanda kimoja na pia wakifa kitakacho watenganisha na udongo Ni sanda tu.
🐎🐎🐎🐎
 
Bosi wao ‘Bi Tozo’ alishatoa kibali ni halali kugawa tender kwa malipo mradi contractor ana uwezo wa kumaliza kazi.

Kwenye kupigilia jeneza msumari akaweka na msisitizo PPRA ipunguze kiherehere cha chunguza sana merit za tender inawacheleweshea kazi.

Tetesi za mtaani mwenye hayo mabasi, mtaji ni kiinua mgongo cha tender ya SGR aliyowapa wachina. Chances are boss boss anafahamu kila kitu; kutesa kwa zamu.

Ngonjera hizo bro kauze magazetini utapata wateja lakini kwa hapa Tunakuona una wivu tu
 
Anyway hata wanunue Mia tatu malipo Ni hapa hapa.
Abdala kigoda alipokua mweka hazina wa CCM alikwapua mihela akanunua mabasi mengi tu SWABRA. Handeni Dar, Handeni tanga. Akawahonga polisi wawe wanakamata mabasi ya Hajees ili yake ya Pete. Mzee wa Hajees akaona isiwe tabu, alikua anajua maji yakijakwa pupa yasubiri yapite, akaondoa yake barabarani.
SWABRA Leo yako wapi?
Hata wakikwapua ma trilioni, watakula sahani moja Kama wengine, wstalala kitanda kimoja na pia wakifa kitakacho watenganisha na udongo Ni sanda tu.

Mbona kama unateseka kama unajua yote hayo kunywa maji kijana
 
Bosi wao ‘Bi Tozo’ alishatoa kibali ni halali kugawa tender kwa malipo mradi contractor ana uwezo wa kumaliza kazi.

Kwenye kupigilia jeneza msumari akaweka na msisitizo PPRA ipunguze kiherehere cha chunguza sana merit za tender inawacheleweshea kazi.

Tetesi za mtaani mwenye hayo mabasi, mtaji ni kiinua mgongo cha tender ya SGR aliyowapa wachina. Chances are boss boss anafahamu kila kitu; kutesa kwa zamu.

Mtoto wakiume una deal na tetesi huo ni umbeya achana nao kabisa Dunia imeharibika
 
Tulisha kubaliana hakuna masuala ya kufuatiliana acha kila mbuzi ale kulingana na urefu wa kamba yake
 
Kama ni kweli naomba huyo Mwigulu anapatie kazi ya usimamizi tu mana hizo ni fursa zinaongezeka.
 
Back
Top Bottom