Kama hakulipa kodi utamfanya nini?
Pambana uongeze urefu wa kamba yako
Hawa ndio wale ambao Baba zao wanasaidiwa kuendeshewa familia zao na mama zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hakulipa kodi utamfanya nini?
Pambana uongeze urefu wa kamba yako
Hii ndo roho mbaya ukisikiaKuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?