A
Anonymous
Guest
Jambo hili lipo pia katika Ofisi ya Machame Dodoma njiapanda ya Area c, kuna choo ambacho ni cha kulipia nafikiri siyo kitu kizuri.
Abiria wamelipia huduma ya usafiri ni jukumu kutengeneza mechanism ya kuwabana wateja ambao siyo wasafiri wasitumie vyoo vyao lakini abiria watumie vyoo bila malipo.