KERO Kampuni ya Mabasi ya Shabbily line acheni tabia hii haraka, mtazika wengi kuelekea 2025

KERO Kampuni ya Mabasi ya Shabbily line acheni tabia hii haraka, mtazika wengi kuelekea 2025

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
Huu ni mfano mzuri wa hali ya kushangaza katika usafiri wa umma! Kuendesha basi kutoka Mbeya hadi Dodoma na kurudi tena siku hiyo hiyo ni kazi ngumu sana. Inashangaza kuona dereva anafanya safari hizo mbili bila kuchoka au kupumzika. Kwa kawaida, magari kama haya yanahitaji madereva wawili ili kuboresha usalama na faraja ya abiria.

Maswali kama, "Je, dereva hawachoki?" na "Gari hilo kwanini lisiwe na madereva wawili?" yanatoa mwanga juu ya changamoto na hatari zinazoweza kutokea katika usafiri wa barabarani.

Inaweza kuwa ni mfumo wa usafiri usiozingatia umuhimu wa mapumziko ya madereva, hali inayoweza kusababisha ajali.

Kwa hivyo, ni muhimu kuzingatia usalama na afya ya madereva ili kuhakikisha usafiri mzuri na salama kwa abiria wote.
 
Iko hivi. Dereva akipumzika au wakiwa wawili basi mshiko unapungua ila dereva akienda ruti nzima na kurudi anakuwa na mshiko balaa. Tatizo siyo mmiliki wa mabasi bali madereva wenyewe. Labda kuwasaidia ni kutunga sheria hakuna dereva day worker, wawe na ajira za kudumu hapo inawezekana kuachiana shift. Ila kwa sasa sahau kabisa, hakuna dereva atakayeyaka kuachia hela.
 
Polisi wamsaka dereva wa Super Feo anayedaiwa kusababisha ajali
Jumatatu, Desemba 30, 2024

Hii bus imeanguka Ruvuma Leo,dereva alichoka akasinzia!
Imagine,dereva huyu aliendesha bus kutoka Dar kwenda songea peke yake.

Amesababisha ajali kwa kuchoka kulikopelekea kusinzia,polisi wanasema wanamtafuta!
Ni aibu hata polisi wasimtafute,wanamuonea
 
Bara bara mbovu sana kuanzia Igawa,Inyala,Chimala na Igurusi aisee naona madereva wanajitahidi mno hao wanaotumia hiyo njia kwa muda mrefu ila nawapa Big up madereva wa magari makubwa wale jamaa kama walisoma chuo kimoja wapo sawa sana road Big up sana kwao...
 
Bara bara mbovu sana kuanzia Igawa,inyala,Chimala na Igurusi aisee naona madereva wanajitahidi mno hao wanaotumia hiyo njia kwa muda mrefu ila nawapa Big up madereva wa magari makubwa wale jamaa kama walisoma chuo kimoja wapo sawa sana Road Big up sana kwao...
Huko anakotokea Tulia,hakuna barabara, sijajua bajeti ya Tanroads inatumika wapi na kwanini wanalipwa mishahara ili hali Barbara ni mbovu.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-12-06-10-29-13-966_com.instagram.android-edit.jpg
    Screenshot_2024-12-06-10-29-13-966_com.instagram.android-edit.jpg
    520.1 KB · Views: 3
Huko anakotokea Tulia,hakuna barabara, sijajua bajeti ya Tanroads inatumika wapi na kwanini wanalipwa mishahara ili hali Barbara ni mbovu.
Bara bara ni mbaya hatari ukiimaliza hiyo Mbeya unashukuru Mungu maana unaipata bara bara ya Makambako,Njombe ni nzuri hata Iringa pia harafu hata sielewi ipo vile na Scania zote za Dalsm/Tunduma zinapita hapo..
 
Huu ni mfano mzuri wa hali ya kushangaza katika usafiri wa umma! Kuendesha basi kutoka Mbeya hadi Dodoma na kurudi tena siku hiyo hiyo ni kazi ngumu sana. Inashangaza kuona dereva anafanya safari hizo mbili bila kuchoka au kupumzika. Kwa kawaida, magari kama haya yanahitaji madereva wawili ili kuboresha usalama na faraja ya abiria.

Maswali kama, "Je, dereva hawachoki?" na "Gari hilo kwanini lisiwe na madereva wawili?" yanatoa mwanga juu ya changamoto na hatari zinazoweza kutokea katika usafiri wa barabarani.

Inaweza kuwa ni mfumo wa usafiri usiozingatia umuhimu wa mapumziko ya madereva, hali inayoweza kusababisha ajali.

Kwa hivyo, ni muhimu kuzingatia usalama na afya ya madereva ili kuhakikisha usafiri mzuri na salama kwa abiria wote.
Kwa malori hiyo tunaita MBWA KALA MBWA........ unatembea mpaka juzi ya jana yake,,,,,Dodoma to Mbeya ni km 537 tu iende irudi ni sawa na km 1074....sasa Dar Mwanza ni Kilometer 1246....upo mjombaaa na wanaume tunauwezo wa kupiga non stop na lori miaka hiyo ya shimo hatulali ukifika Mwanza unashusha unapakia chombo inageuka.......hutumii mirungi wala nini kisinzia ni dk 5 10....iende irudi 2492
 
(589.3 km Dodoma to Mbeya)
 
Back
Top Bottom