Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kampuni ya mabasi ya Yutong ya China yazindua malori mazito ya umeme na mabasi yasiyo na dereva
Kampuni ya mabasi ya Yutong ya China imeitisha mkutano na wanahabari mjini Zhengzhou, nchini China, ili kuzindua bidhaa zake mpya zinazotumia nishati safi yakiwemo malori mazito ya umeme na mabasi yasiyo na dereva, na kutoa wito kwa umma kuzingatia uhifadhi wa mazingira na kukumbatia usafiri wa kijani.