Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kampuni ya magari kutoka China BYD wameungana na kampuni ya teknolojia DeepSeek, na kuinstall AI kwenye magari ya BYD.
Hii advanced driver assistance system (ADAS) ambayo wao wameiita God's Eye itakua kwenye magari "karibia yote" ya BYD kuanzia expensive modela hadi cheapest models kama Seagull inayouzwa $9,500 tu.
Nissan nao wametangaza kuweka DeepSeek R1 AI kwenye model yao ya Nissan N7.