Inamana nikiwa na MILION 45 naagiza chuma na kulipia ushuru chapKampuni ya magari kutoka China BYD wameungana na kampuni ya teknolojia DeepSeek, na kuinstall AI kwenye magari ya BYD.
View attachment 3235517
Hii advanced driver assistance system (ADAS) ambayo wao wameiita God's Eye itakua kwenye magari "karibia yote" ya BYD kuanzia expensive modela hadi cheapest models kama Seagull inayouzwa $9,500 tu.
View attachment 3235518
Nissan nao wametangaza kuweka DeepSeek R1 AI kwenye model yao ya Nissan N7.
View attachment 3235519
Wajerumani walishaanza na hii ya Gari kujiendeshaNdio ADAS ya Level III inakua inajiendesha ila under supervision.
Model gani mkuu? Nazikibali sana BYDNewwwwww
BYD gari zao kwa ndani ni kali sana aisee. Ngoja nisome nione inakulaje umeme na kuchaji ni muda gani na ni umeme huu huu wa majumbani. Kama utaweza kufafanua hapo kutusaidia wengi, fafanua tu mkuuBYD Seagull hapo. Full charge unaenda km 300+View attachment 3235978View attachment 3235979View attachment 3235980
Inakuja na options mbili za battery, either 30 kWh (hii inaenda 300km) au 38 kWh (hii inaenda 400km), zote teknolojia ya LFP (Lithium Iron Phosphate).BYD gari zao kwa ndani ni kali sana aisee. Ngoja nisome nione inakulaje umeme na kuchaji ni muda gani na ni umeme huu huu wa majumbani. Kama utaweza kufafanua hapo kutusaidia wengi, fafanua tu mkuu
Hizo zilizopo Kenya steering wheel IPO upande gani?Inakuja na options mbili za battery, either 30 kWh (hii inaenda 300km) au 38 kWh (hii inaenda 400km), zote teknolojia ya LFP (Lithium Iron Phosphate).
Kwasababu ya size yake, ni very efficiency, inaenda 11 km/kWh (yaani inaenda km 11 kwa unit moja ya umeme).
Ina support DC fast charging kwa dk 30, lakini kwa umeme wa nyumbani (120V) ambao ni Level I charging, utatumia masaa 12-18 kuchaji kutoka 0% hadi 100%.
Challenge ya BYD Seagull itabidi uagize kutoka China maana kwa sasa ni exclusive kwa China tu, kwa international itabidi uende na BYD Dolphin, hii ata Kenya ipo (maana Kenya kuna BYD official branch).
Hii Dolphin unapata hapo Kenya 0km full box kwa Million 20 tu za Kitanzania, toa ushuru.
View attachment 3236031
Ni ishu ya mapendeleo ila hala uwa nakaona kazuri zaidi nje na ndani.
View attachment 3236032
Hii Dolphin yenyewe inakuja na options tatu za battery, ndogo kabisa ni 30kWh, inakuja 40kWh na kubwa ni kama performance version inakuja na 60kWh, pia ni LFP battery.
View attachment 3236033
Hiyo battery ndogo ya 30kWh inakupa range ya 300km, ndio base model, na ina power ya 94hp.
Battery ya 40kWh inakupa range ya kilometa 400 na power ya 170 hp.
Na battery kubwa la 60kWh badala ya kufocus kwenye range wamepeleka kwenye performance, linakupa range ya 430km ila power kubwa ya 200+ hp.
Ahsante sana mkuu, kumbe inawezekana kabisa kununua gari za 0km. Hii kitu ukiinunua kenya, je ushuru wake ndio mnakaa mezani na TRA wakupangie au tayari upo unajulikana?Inakuja na options mbili za battery, either 30 kWh (hii inaenda 300km) au 38 kWh (hii inaenda 400km), zote teknolojia ya LFP (Lithium Iron Phosphate).
Kwasababu ya size yake, ni very efficiency, inaenda 11 km/kWh (yaani inaenda km 11 kwa unit moja ya umeme).
Ina support DC fast charging kwa dk 30, lakini kwa umeme wa nyumbani (120V) ambao ni Level I charging, utatumia masaa 12-18 kuchaji kutoka 0% hadi 100%.
Challenge ya BYD Seagull itabidi uagize kutoka China maana kwa sasa ni exclusive kwa China tu, kwa international itabidi uende na BYD Dolphin, hii ata Kenya ipo (maana Kenya kuna BYD official branch).
Hii Dolphin unapata hapo Kenya 0km full box kwa Million 20 tu za Kitanzania, toa ushuru.
View attachment 3236031
Ni ishu ya mapendeleo ila hala uwa nakaona kazuri zaidi nje na ndani.
View attachment 3236032
Hii Dolphin yenyewe inakuja na options tatu za battery, ndogo kabisa ni 30kWh, inakuja 40kWh na kubwa ni kama performance version inakuja na 60kWh, pia ni LFP battery.
View attachment 3236033
Hiyo battery ndogo ya 30kWh inakupa range ya 300km, ndio base model, na ina power ya 94hp.
Battery ya 40kWh inakupa range ya kilometa 400 na power ya 170 hp.
Na battery kubwa la 60kWh badala ya kufocus kwenye range wamepeleka kwenye performance, linakupa range ya 430km ila power kubwa ya 200+ hp.
Naona chuma inaendana na geography yetu.Naona kulia. View attachment 3236048
Ushuru wake unafahamika.Ahsante sana mkuu, kumbe inawezekana kabisa kununua gari za 0km. Hii kitu ukiinunua kenya, je ushuru wake ndio mnakaa mezani na TRA wakupangie au tayari upo unajulikana?
Hapa unaenda kukaa mezani. Nadhan una advantage ya kufanya negotiations au kutoa rushwa waweke ndogo.Ahsante sana mkuu, kumbe inawezekana kabisa kununua gari za 0km. Hii kitu ukiinunua kenya, je ushuru wake ndio mnakaa mezani na TRA wakupangie au tayari upo unajulikana?