Kampuni ya magari BYD kutumia DeepSeek AI katika magari yake kuboresha ADAS!

Ushuru wake unafahamika.

Mie nilivusha Dolphin ya 30 kWh kutoka Nairobi.

Ushuru pekee nilitoboka 98,650,000/=
mmmh.! ya kweli haya basi ni us*ng* wa hali ya juu yaani injinia wenye viwanda wametengeneza gari zuri hadi kukusafirishia wamekuchaji labda milion 30 tu lakini hawa TRA wanachaji mara mbili hadi tatu ya aliyetengeneza hiyo gari..hivi huu wizi wa ushuru hapa kwetu asili ni ipi hasa.! hawa tra hata siku wajapani wakileta kiwanda cha magari tanzania bila aibu wataendelea kuchaji kodi zao hizi hizi za ajabu.
 
Ushuru wake unafahamika.

Mie nilivusha Dolphin ya 30 kWh kutoka Nairobi.

Ushuru pekee nilitoboka 98,650,000/=
Sio mchezo aisee..ushuru mkubwa kuliko ma-fortuner, ma -hilux..

Kwa hiyo jumla kabisa ushuru na manunuzi iligharimu shilingi ngapi?
 
Changamoto kodi yake sijui itakuwa imesimamaje.
Nilikaona ka bmw i3, aisee tra calculator walichoniletea nikasonya na kutukana
 
Changamoto kodi yake sijui itakuwa imesimamaje.
Nilikaona ka bmw i3, aisee tra calculator walichoniletea nikasonya na kutukana
Achana na hawa TRA. Ujanja kuchukua gari kama IT Congo, unalisajili uko DRC uku unakuja nalo na permit ya 6 months ya kutumika Bongo. Kama Nenga.
 
Achana na hawa TRA. Ujanja kuchukua gari kama IT Congo, unalisajili uko DRC uku unakuja nalo na permit ya 6 months ya kutumika Bongo. Kama Nenga.
Kisha baada ya miezi 6 inakuwaje?

Mchakato wa kusajili huko congo na the rest nakuwa nasave kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…