Wanunuzi wakati wote huwa wapo, tatizo ni Serikali isiyo na maono. Kila inapoingia, lazima iharibu.Hii ni habari kubwa kwa wakulima wa korosho Tanzania. Kampuni ya Kimarekani, Ward Holdings Intl. imetangaza kununua korosho zote zilizobanguliwa Tanzania kwa bei ya juu ya ile ya soko. Hii ni faida kwa wakulima wa Tanzania na walaji wa Marekani.
Chanzo Ubalozi wa Marekani.
Ni Afadhali Mmarekani angewekeza na kwenye kiwanda cha kubangua kwanza. Sasa viwanda vilivyopo uwezo wa kubangua ni tani 60,000 wakati uzalishaji ni zaidi ya tani 300,000. Hapo unaweza kuona shida ilipo
Bahati mbaya unakuta mtu kama wewe mwenye mawazo positive hauna mamlaka ya aina yeyote serikalini, nadhani kuna haja ya watu kama wewe kujipenyeza kwenye system kwa namna yeyote hadi kieleweke…. Ikibidi you fake it till you make it.Viwanda vya processing and packaging, viwanda vya mbolea, viwanda vya kutengeza trekta, vifaa vya kilimo cha umwagiliaji, vibali vya exports, kupunguza urasimu. Hivyo ndivyo vingetakiwa kuwa vipaumbele vya Taifa.
Vitu vya maana, vya msingi, vya ukweli kumsaidia Wananchi serikali haina habari navyo.
Hivi vingeingiza pesa za kutosha za kigeni. Bidhaa hizi zina benzuri sana karibu 40Tshs kwa kilo dukani.
View attachment 1914306
View attachment 1914307
Bahati mbaya unakuta mtu kama wewe mwenye mawazo positive hauna mamlaka ya aina yeyote serikalini, nadhani kuna haja ya watu kama wewe kujipenyeza kwenye system kwa namna yeyote hadi kieleweke…. Ikibidi you fake it till you make it.
Wanunuzi wakati wote huwa wapo, tatizo ni Serikali isiyo na maono. Kila inapoingia, lazima iharibu.
Kununua anunue na kiwanda akujengee? Kwanini tusijenge wenyewe viwanda vidogo?Ni Afadhali Mmarekani angewekeza na kwenye kiwanda cha kubangua kwanza. Sasa viwanda vilivyopo uwezo wa kubangua ni tani 60,000 wakati uzalishaji ni zaidi ya tani 300,000. Hapo unaweza kuona shida ilipo
Dola 6 nadhaniWaweke wazi kilo moja watanunua kwa Bei gani?