Kampuni ya Masdar ya Falme za Kiarabu (UAE) itashirikiana na TANESCO kuzalisha umeme

Mara 10,000 ya Waarabu lakini siyo Wachina. Sioni shida kwa waarabu kama sisi wenyewe tutajitambua.
Lakini siyo wachina, Wachina ni kenge kabisa wale.
 
Labda atakae mrithi Samia awe kutoka msoga au hawa minions kwenye baraza lake la mawaziri. Vinginevyo akija mzalendo kama Magufuli atakutana na mikataba ya ovyo kibao.

Maza amesha haribu nchi vya kutosha; busara ni watu kumtoa Ikulu 2025.
 
Maashaallah. Itakuwa saaafi sana kwa maana umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
 
Ni jambo jema

Ushindani ulifanyika?

Uzalishaji utafanyika lini?

Ipo kwenye Ilani?

Mfumo ni upi? PPP?BOT?EPC?..

Nani anawekeza nini (Mwekezaji vs Tanesco)?

Profit ,Loss and Risks projections zipoje?

Kukamirika Kwa Stigler (Mwalimu Nyerere Hydro Power Plants) kutaathiri vipi commercial viability ya huu mradi?
 
Labda atakae mrithi Samia awe kutoka msoga au hawa minions kwenye baraza lake la mawaziri. Vinginevyo akija mzalendo kama Magufuli atakutana na mikataba ya ovyo kibao.

Maza amesha haribu nchi vya kutosha; busara ni watu kumtoa Ikulu 2025.
Hakuna maendeleo kwa sisi kujifungia huku tukiharibu taasisi moja baada ya nyingine. Tujifunze kupokea changamoto maishani.

Taarifa za CAG za kila mwaka zinaonyesha ni kwanini serikali inaona bora kuingia ubia.

Tija yetu ni ndogo, wizi na uharibifu wa kila aina ndio uzoefu tunaouacha kwenye taasisi tunazoziongoza kwa asilimia mia moja.
 
Nyie Wajinga,mna elimu gani ya kuwafundisha Wakristo!
Mna nongwa sana nyie Waswahili!
 
Mpaka mama anaondoka madarakani hii nchi itakuwa ya waarabu na makanzu yao
 
Chuki zenu zinaweza kupelekea bongo kuwa kama Lebanon miaka ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…