Mahotera
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 729
- 1,847
Kwani huyu tulikubali?Haitakaa itokee tukubali raisi kutoka Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huyu tulikubali?Haitakaa itokee tukubali raisi kutoka Zanzibar
Shida ya hao watu ni kukariri na kudhani kama nchi wanaulazima ya kuingia kwenye miradi ya renewable energy.Hakuna maendeleo kwa sisi kujifungia huku tukiharibu taasisi moja baada ya nyingine. Tujifunze kupokea changamoto maishani.
Taarifa za CAG za kila mwaka zinaonyesha ni kwanini serikali inaona bora kuingia ubia.
Tija yetu ni ndogo, wizi na uharibifu wa kila aina ndio uzoefu tunaouacha kwenye taasisi tunazoziongoza kwa asilimia mia moja.
Huyo ndio kachoma wenzakeKwani huyu tulikubali?
😂😆😄😂😆😄Ilani Ya Ccm Inasema Mkuu Akishauri Ni AmriIlani ya CCM inakipengele kuhusu hao waarabu?
Akitoka Samia anakuja mbarawaHaitakaa itokee tukubali raisi kutoka Zanzibar
Faki mbarawa auAkitoka Samia anakuja mbarawa
Sisi tumejikita sahv kukata mauno na masingeli,uchawa tu hizo kazi zinatutoshaTukiwaambia nyie wagalatia wa Bongoland ni majuha licha ya vyeti vyenu vya point 7 mnaona tunawaonea. Nilikuwa namsikiliza mwanasheria mmoja akijitapa ni msomi wa Harvard Law School, daaah! Nimechoka kabisa namna msomi wa Harvard alivyo na uwezo mkubwa wa kujenga hoja za kijinga.
Sasa umeme wanawazalishia nyie, ajira kwa watu wenu zitatengenezwa licha. lakini pia, hiyo miradi ya kuzalisha umeme mbona ipo kibao Tanzania. Ila shida yako wewe ni pale mzalishaji anapokuwa mwarabu tu? Seriously pitieni upya mtaala wenu wa Sunday school, mnafundishwa ujinga zaidi kuliko mafundisho ya dini yenu.
Mtalia Sio watu haoSafi sana, now ni kwenda na waarab tu no wachina no wamarekani
Aisee nchi ngumu sana hiiUNASEMA UNAZALISHA UMEME WA GAS...PAAP UNAANZA KUJENGA BWAWA LA NYERERE.. hujakaa sawa unaitaa waarabu wazalishe umeme wauze au wawauzie tanesco alafu watuuzie sisi?? haya ndo yale ya IPTL ya kina rwegemalilaaa. NCHI IMEJAA UHUNIII KILA KONA
Yote haya yanatokea watakuja na kusema yametokea kipindi cha awamu ya Tano kila mtu anamtupia mwenzake ,nchi ngumu sana hiiWakati tukijadili kuhusu DP World na TPA, tusisahau kwamba kampuni nyingine ya falme za kiarabu ya UAE inayoitwa MASDAR ilisaini mkataba wa ushirikiano na kuzalisha umeme na TANESCO.
Tusisahau pia kwamba Shirika la Posta limeanzisha ushirikiano na kampuni ya posta ya Falme za Kiarabu.
Sio hilo tu, TPDC imeansisha ushirikiano na kampuni nyingine ya falme za kiarabu.
Waarabu wanauziwa kampuni zetu tu.
=====
View attachment 2662153
Masdar Signs Agreement with Tanzania’s TANESCO to Develop 2 GW Renewable Energy Capacity
Masdar, one of the world’s leading renewable energy companies, announced that it has signed an agreement with Tanzania Electric Supply Company Ltd. (TANESCO) related to the development of renewable energy projects with a total capacity of up to 2 gigawatts (GW).
Abdulla Zayed, Head of Business Development & Investment at Masdar and Maharage Chande, Managing Director of TANESCO, signed the Joint Development Agreement (JDA) on the sidelines of the Tanzania Energy Congress in the presence of Hon. January Makamba, Minister for Energy for Tanzania. The JDA envisages the establishment of a co-owned joint venture (JV) company by the two organizations to progress the project development.
Maharage Chande, The Executive Director of TANESCO, said: “The agreement we are signing today will bring about a big revolution in the development of renewable energy in the country. Through the first phase of the collaboration, we expect to generate approximately 600 megawatts, and we will continue with other projects until we reach 2,000 megawatts.”
Abdulla Zayed, Head of Business Development & Investment at Masdar, said: “Masdar and TANESCO are working together to support Tanzania’s sustainable development and to provide a secure, clean source of energy for the people of Tanzania. The signing of this agreement demonstrates Masdar’s commitment to the Tanzanian market and to the nation’s energy transition, supporting the target to reach 5,000 MW capacity by 2025. We look forward to working with TANESCO to develop this ambitious program and to provide a clean pathway for growth for Tanzania.”
Through the JV, the two companies are initially targeting the development of renewable energy projects with a capacity of about 600 megawatts (MW) starting with solar photovoltaic (PV) and onshore wind. The JV will further explore the development of projects with a total capacity of at least 2,000 megawatts.
TANESCO, the sole provider of electricity in Tanzania, is looking to add more renewable energy sources to the national grid to meet the country’s growing demand for power and increase energy access. The Tanzanian government is targeting an electrification rate for the entire country of 75 percent by 2035.
Masdar News
Kuna ukweli.......maana king musukuma yupo kwenye chombo cha juu zaidi cha kitunga sheria akitokea la saba hlafu kuna mtu an 1 ya 7 haimsaidi yeye mwenyewe wala taifa lakeDivision 1.7 hazina Masada!?
huenda ni kweli
Nchi ngumu sana hiiDuh! Zote hizo takataka zisizo na tija wamepewa wajomba zake.uongozi wa kurithi unagharama zake
safi sana Mama
Kazi iendelee
Sisi tumeshakubali tangu zamani hatuna, ndio maana tunawataka nyie mlio nayo muitumie vema sio kwa misingi ya chuki, upendeleo na kuchukia baadhi ya mataifa. Imagine, hao waarabu mnawataabisha hata kuwapatia passport. Ni nani haoni contribution ya waarabu katika nchi hii? Surely, sisi tumesoma juzuu zetu, zinatutosha and we very happy for it Sasa tungependa nyie vipanga wa 1.7 mtumie huo uvipanga wenu kuleta changes kwa jamii. Unfortunately, mko busy kwenye wizi, ulevi, roho mbaya, ubaguzi na hoja za kitoto kama hizi zinazoendelea.Nyie Wajinga,mna elimu gani ya kuwafundisha Wakristo!
Mna nongwa sana nyie Waswahili!
Eee bhana eeee !!!Wakati tukijadili kuhusu DP World na TPA, tusisahau kwamba kampuni nyingine ya falme za kiarabu ya UAE inayoitwa MASDAR ilisaini mkataba wa ushirikiano na kuzalisha umeme na TANESCO.