Kampuni ya Masdar ya Falme za Kiarabu (UAE) itashirikiana na TANESCO kuzalisha umeme

Shida ya hao watu ni kukariri na kudhani kama nchi wanaulazima ya kuingia kwenye miradi ya renewable energy.

Hakuna mzungu atasifia kwa dhati ‘green energy’ credentials kwa nchi ambayo aina vyanzo vya uhakika kwanza. Watakusifia kinafiki tu kwa sababu hao wanaofanya huo uwekezaji wanatimiza sera zao za ‘carbon trade off’. Ambapo uwekezaji kama huu kwa third world unawapa kibali cha kuendelea kuchafua mazingira huko kwao.

Nyuma ya pazia kwenye aina hii ya uwekezaji ni highly polluting industries huko kwao; wanakulazimishia miradi na bado watapokea dividends za hii miradi uchwara wanayotuletea sisi.

Sasa wewe TANESCO huna faida, uwezi lipa madeni ya ‘cost of sales’, huna capital reserves ya kuboresha miundombinu zako, ulipi kodi, unapokea ruzuku ya hela za walipa kodi tena unataka sijui trillioni tatu.

Halafu unatoka hapo unaenda kuingia mikataba ya kununua umeme kwa lazima at higher unit costs at a time wewe mwenyewe una surplus.

Hakuna tu financiers wa maana huko serikalini, hakuna performance appraisal ya financial statement, hakuna kuangalia value addition, hakuna kuangalia self sufficiency ya biashara na mambo mengine ya msingi; vinginevyo kungekuwa na watu wa maana wanaojali value kwenye biashara wangeshamtimua waziri na huyo mkurugenzi wake.

Hakuna wanachojua kwenye biashara zaidi ya ushamba na kusaka sifa zisizo na kichwa wala miguu waonekane wapo up to date na dunia; wakati wenzao wamewekewa targets za kushusha carbon emissions ambazo sisi hatuna.

Ni Tanzania tu tena serikalini watu kama hao wanaweza pewa sensitive posts.
 
Sisi tumejikita sahv kukata mauno na masingeli,uchawa tu hizo kazi zinatutosha
Biashara zingine ni kufungua vipub bar lounge basi

Ova
 
UNASEMA UNAZALISHA UMEME WA GAS...PAAP UNAANZA KUJENGA BWAWA LA NYERERE.. hujakaa sawa unaitaa waarabu wazalishe umeme wauze au wawauzie tanesco alafu watuuzie sisi?? haya ndo yale ya IPTL ya kina rwegemalilaaa. NCHI IMEJAA UHUNIII KILA KONA
Aisee nchi ngumu sana hii
 
Yote haya yanatokea watakuja na kusema yametokea kipindi cha awamu ya Tano kila mtu anamtupia mwenzake ,nchi ngumu sana hii

Ova
 
Nyie Wajinga,mna elimu gani ya kuwafundisha Wakristo!
Mna nongwa sana nyie Waswahili!
Sisi tumeshakubali tangu zamani hatuna, ndio maana tunawataka nyie mlio nayo muitumie vema sio kwa misingi ya chuki, upendeleo na kuchukia baadhi ya mataifa. Imagine, hao waarabu mnawataabisha hata kuwapatia passport. Ni nani haoni contribution ya waarabu katika nchi hii? Surely, sisi tumesoma juzuu zetu, zinatutosha and we very happy for it Sasa tungependa nyie vipanga wa 1.7 mtumie huo uvipanga wenu kuleta changes kwa jamii. Unfortunately, mko busy kwenye wizi, ulevi, roho mbaya, ubaguzi na hoja za kitoto kama hizi zinazoendelea.
 
Eee bhana eeee !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…