Kampuni ya Maziwa ya unga ya Cowbell Matatani

Kampuni ya Maziwa ya unga ya Cowbell Matatani

Adui wa kwanza kabisa kwetu sisi waafrika Ni Rushwa.Tuko tayari kuua mamilioni ya watu wetu ili ujengewe kagorofa.adui wa pili Ni ujinga.hata humu ndani utagundua Hilo Kama unachunguza vizuri
🙂
 
Hapo Cowbell wamekuwa na mkono wa birika tu au kama sivyo walishatoa chochote kwa TMDA na TBS sasa Bodi ya Maziwa na wenyewe wanataka tena, Cowbell wamekaza!!!
Na hiki ndicho kilichofanyika bidhaa imesharudi sokoni kama zamani
 
katika kitu ambacho nina mashaka nacho zaidi ni haya maziwa ya unga ambayo siku hizi tunauziwa kwa vipimo huku mitaani, sababu huoni expiry date wala brand, nina wasiwasi sana juu ya ubora wake.

Hilo pia lipo kwenye siagi(margarine) mbalimbali ambazo siku hizi huku mtaani tunauziwa kwa Kg lakini bei yake ni nafuu zaidi kuliko zile ambazo zipo packed kama Blueband na Prestige.
 
Back
Top Bottom