katika kitu ambacho nina mashaka nacho zaidi ni haya maziwa ya unga ambayo siku hizi tunauziwa kwa vipimo huku mitaani, sababu huoni expiry date wala brand, nina wasiwasi sana juu ya ubora wake.
Hilo pia lipo kwenye siagi(margarine) mbalimbali ambazo siku hizi huku mtaani tunauziwa kwa Kg lakini bei yake ni nafuu zaidi kuliko zile ambazo zipo packed kama Blueband na Prestige.