President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
KUNA WATU WANAUMIA WAKONA MAENDELEO YA TANZANIA
Serikali ya Tanzaniaimeendelea kushirikiana na wadau mbalimbaliikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Chinakatika kuboresha huduma za uchukuzi katikaBahari. Mkakati huo umeendelea kutekelezwa naKampuni ya Meli ya China na Tanzania(SINOTASHIP) ambayo inamilikiwa kwa uwiano waasilimia 50:50 kati ya nchi hizo mbili. Aidha,kampuni hii inamiliki meli moja ya mizigo yenyeuwezo wa kubeba jumla ya tani 57,000 kwa wakatimmoja. Kwa sasa meli hiyo inaendelea kutoahuduma katika nchi mbalimbali duniani chini yausimamizi wa SINOTASHIP.