Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kampuni ya Moab Minerals imethibitisha uwepo wa Uranium kwenye mashimo yote 51 ya uchimbaji yaliyofanyiwa majaribio katika mradi wake uliopo Manyoni.
Uchunguzi wa awamu hii kutoka kwa Moab Minerals umeonyesha kuwa eneo hilo la Manyoni lina viwango vya juu vya uranium, ambapo mashimo 49 kati ya mashimo yaliyochimbwa yalionyesha kuwa na viwango vikubwa vya uranium vinavyozidi 100 parts per million (ppm), na mashimo 18 yakiwa na viwango vya juu zaidi ya 400ppm.
Kinachoshangaza zaidi katika uvumbuzi huu wa Moab Minerals ni kuwa uranium iliyopatikana hapo Manyoni iko chini ya ardhi kwa urefu wa mita 1 tu, kwa hiyo bila shaka uchimbaji na upatikanaji wa Uranium hautakuwa mgumu kwani Uranium iko karibu na ardhi.
Soma pia: Kampuni ya Askari Metals iliyopata kibali uchimbaji wa Urani Dodoma kupitia Eyasi Uranium Project inamilikiwa na nani?
Mara baada ya ugunduzi huu wa Uranium kufanyika, CEO wa kampuni wa kampuni ya Moab Minerals alinukuliwa akisema
"Tulichokiona hapa Manyoni kimezidi matarajio tuliyokuwa na ni wazi kwamba uranium imesambaa vizuri kwenye eneo lote. Madini yapo kwenye kina kifupi, jambo linalofanya uchimbaji wa wazi kuweza kufanyika. Hatua inayofuata ni kulinganisha matokeo haya mapya na yale ya zamani ili kuhakikisha kwamba kila kitu kinalingana"
Ikumbukwe kuwa The Manyoni Project, ni project ambayo ilikuwepo kwa muda mrefu hapa nchini Tanzania.
Hata hivyo, shughuli za kuchunguza uwepo wa uranium katika mradi huo zilipungua baada ya ajali ya nyuklia ya Fukushima mwaka 2011, iliyosababisha kushuka kwa mahitaji ya kimataifa ya uranium.
Hata hivyo, kuongezeka kwa mahitaji ya nishati safi na kupanda kwa bei ya uranium mwaka 2023 na 2024 kumeleta uhai mpya kwa mradi huo.
Kwa sasa, Moab Minerals inasubiri matokeo kutoka mashimo mengine 59 ya uchimbaji, matokeo yanayotarajiwa kutolewa katika wiki zijazo.
Wakati huo huo, kampuni inaendelea na mchakato wa kununua maeneo jirani kutoka kwa AuKing, ambayo tayari yanajulikana kuwa na madini ya uranium.
===========================================================
Moab Minerals’ Manyoni project in Tanzania is looking the goods after confirming uranium mineralisation is present in all 51 of the drill holes for which it has received assays.
Notable assays include:
The company had launched the 110 hole program totalling 1608m to validate historical drill results, identify the type of mineralisation based on metallurgical testwork, and form the basis for a maiden JORC resource.
“These results have exceeded our expectations and confirm the widespread and consistent distribution of uranium mineralisation across the tenements,” managing director Malcolm Day said.
“The mineralisation is remarkably consistent and at shallow depth, suitable for open-cut mining. The next step is to compare these results with historical assays as part of the verification exercise.
“This work is intended to facilitate a JORC 2012 compliant MRE in 2025.”
Uranium is deposited in a shallow playa lake system as schröckingerite (in the lake sediments) and carnotite in the granitic saprolite below the lake sediments.
The mineralisation varies from flat lying to gently undulating as it follows the direction of the palaeodrainage to the south-east while the average depth to the top of mineralisation is approximately 1m in the Manyoni C1 area.
While it was extensively explored through the early 2000s, activity petered out following a decline in nuclear activity brought about by the Fukushima nuclear accident in 2011.
The push towards zero emissions revived uranium’s prospects, leading to a big jump in prices in 2023 and early 2024.
The company also expects to complete the acquisition of the neighbouring AuKing tenements shortly, which will add known uranium mineralisation located immediately adjacent to its existing tenure.
Additionally, metallurgical testwork is underway to determine the optimum processing pathway for Manyoni mineralisation and help focus future exploration into areas where metallurgical recovery is most favourable.
Further drilling is also in the works to define the limits of the known mineralisation by step-out drilling on broad centres up to 200m x 400m apart.
Source: NT News
Kampuni ya Moab Minerals imethibitisha uwepo wa Uranium kwenye mashimo yote 51 ya uchimbaji yaliyofanyiwa majaribio katika mradi wake uliopo Manyoni.
Uchunguzi wa awamu hii kutoka kwa Moab Minerals umeonyesha kuwa eneo hilo la Manyoni lina viwango vya juu vya uranium, ambapo mashimo 49 kati ya mashimo yaliyochimbwa yalionyesha kuwa na viwango vikubwa vya uranium vinavyozidi 100 parts per million (ppm), na mashimo 18 yakiwa na viwango vya juu zaidi ya 400ppm.
Kinachoshangaza zaidi katika uvumbuzi huu wa Moab Minerals ni kuwa uranium iliyopatikana hapo Manyoni iko chini ya ardhi kwa urefu wa mita 1 tu, kwa hiyo bila shaka uchimbaji na upatikanaji wa Uranium hautakuwa mgumu kwani Uranium iko karibu na ardhi.
Soma pia: Kampuni ya Askari Metals iliyopata kibali uchimbaji wa Urani Dodoma kupitia Eyasi Uranium Project inamilikiwa na nani?
Mara baada ya ugunduzi huu wa Uranium kufanyika, CEO wa kampuni wa kampuni ya Moab Minerals alinukuliwa akisema
"Tulichokiona hapa Manyoni kimezidi matarajio tuliyokuwa na ni wazi kwamba uranium imesambaa vizuri kwenye eneo lote. Madini yapo kwenye kina kifupi, jambo linalofanya uchimbaji wa wazi kuweza kufanyika. Hatua inayofuata ni kulinganisha matokeo haya mapya na yale ya zamani ili kuhakikisha kwamba kila kitu kinalingana"
Ikumbukwe kuwa The Manyoni Project, ni project ambayo ilikuwepo kwa muda mrefu hapa nchini Tanzania.
Hata hivyo, shughuli za kuchunguza uwepo wa uranium katika mradi huo zilipungua baada ya ajali ya nyuklia ya Fukushima mwaka 2011, iliyosababisha kushuka kwa mahitaji ya kimataifa ya uranium.
Hata hivyo, kuongezeka kwa mahitaji ya nishati safi na kupanda kwa bei ya uranium mwaka 2023 na 2024 kumeleta uhai mpya kwa mradi huo.
Kwa sasa, Moab Minerals inasubiri matokeo kutoka mashimo mengine 59 ya uchimbaji, matokeo yanayotarajiwa kutolewa katika wiki zijazo.
Wakati huo huo, kampuni inaendelea na mchakato wa kununua maeneo jirani kutoka kwa AuKing, ambayo tayari yanajulikana kuwa na madini ya uranium.
===========================================================
Moab Minerals’ Manyoni project in Tanzania is looking the goods after confirming uranium mineralisation is present in all 51 of the drill holes for which it has received assays.
- Moab Minerals’ first 51 holes at Manyoni have all intersected uranium with 49 of them returning assays of >1m at 100ppm U3O8
- Results confirmed that Manyoni is a consistently mineralised, flat-lying system with just 1m of overburden
- Assays for remaining 59 holes expected over the coming weeks while testing is underway to determine optimum processing pathway
Notable assays include:
- 3m at 1126ppm U3O8 from surface (24PQ003);
- 2.4m at 1023ppm U3O8 from surface (24PQ004);
- 2.3m at 1042ppm U3O8 from 0.7m (24PQ036); and
- 4.5m at 740ppm U3O8 from surface (24PQ005).
The company had launched the 110 hole program totalling 1608m to validate historical drill results, identify the type of mineralisation based on metallurgical testwork, and form the basis for a maiden JORC resource.
“These results have exceeded our expectations and confirm the widespread and consistent distribution of uranium mineralisation across the tenements,” managing director Malcolm Day said.
“The mineralisation is remarkably consistent and at shallow depth, suitable for open-cut mining. The next step is to compare these results with historical assays as part of the verification exercise.
“This work is intended to facilitate a JORC 2012 compliant MRE in 2025.”
Manyoni project
The Manyoni tenements sit about 100km northwest of Tanzania’s capital city Dodoma in the central part of the Tanzanian Archaean Shield.Uranium is deposited in a shallow playa lake system as schröckingerite (in the lake sediments) and carnotite in the granitic saprolite below the lake sediments.
The mineralisation varies from flat lying to gently undulating as it follows the direction of the palaeodrainage to the south-east while the average depth to the top of mineralisation is approximately 1m in the Manyoni C1 area.
While it was extensively explored through the early 2000s, activity petered out following a decline in nuclear activity brought about by the Fukushima nuclear accident in 2011.
The push towards zero emissions revived uranium’s prospects, leading to a big jump in prices in 2023 and early 2024.
Further activity
MOM is currently awaiting assays from the remaining 59 holes from the drill program with results expected in the coming weeks.The company also expects to complete the acquisition of the neighbouring AuKing tenements shortly, which will add known uranium mineralisation located immediately adjacent to its existing tenure.