Sasa nilisoma makala moja ya mtaalam wamdini anaseme dhahabu hiliyopo tanzania ninyingi mno akasema dhahabu ni kama mto na chanzo cha dhahbu hapa Tz ni Biharamulo anasema inatiririka mpaka afrika kusini lkn umasikini tulionao ni ahibuHii nchi Mungu ameibariki rasilimali za kutosha