Kampuni ya Moab Minerals yathibitisha madini ya Uranium kupatikana kwa wingi kwenye mradi wake wa Manyoni

Ccm ni 💩
💩💩💩
 
Habari za ugunduzi wa madini is no longer exciting news kwa bongo hii.

Tuna kila aina ya madini lakin sisi bado ni masikini wa kutegemea USAID

Naungana na wewe kwenye paragraph ya kwanza ila hapo kwenye USAID nahitaji kukuelewa zaidi.

Kuna manchi mengi sana duniani yana rasilimali nyingi na bado inaitegemea USAID 😁
 
Ardhi ya Tanzania ina madini ya kutosha ila si kwa manufaa kwa wenye ardhi yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…